The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Shamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na Mwenyekiti wa chama hicho akiongozana na viongozi waandamizi wa chama hicho.