PreGE2025 Video: Shamrashamra Ubungo Plaza, CHAUMMA pameanza kuchangamka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Shamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na Mwenyekiti wa chama hicho akiongozana na viongozi waandamizi wa chama hicho.

Your browser is not able to display this video.
 
Wanachama 3000 ni asilimia ngapi ya kura zote Tanzania.
 
CHAUMMA MUNGU AWABARIKI KAMA MNAMUAMINI
 
Tatizo hatujielewi! Chama ambacho hakia hata ofsi kinapata wapi pesa za kununua magari? Kwamba hao wageni wamekuja na pesa? Wanazitoa wapi???
Mkuu hatujielewi kwa CCM kukataa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa halafu tutake vyama hivyohivyo vifanye kampeni sawa au zaidi ya CCM na kiweze kupata wabunge ndipo ruzuku ije. Hata CHADEMA Mbowe anasema alikuwa anatoa fedha zake kuendesha chama na kununua magari ya chama, hakuna utofauti wowote na CHAUMMA leo kupata pesa za kununua magari - huenda Hashim Rungwe ameamua kutoa fedha zake binafsi kama Mbowe
 
Ukombozi unakaribia,wahuni wameungana na wenzao.Hapo Kuna walioingizwa chaka na kuna waliovuta mpunga.

Sasa ACT nao wanajiuliza mbona na wao wameahidiwa mpaka wakaenda kusaini haraka haraka,sasa nn hiki!!!😄


Daaah
 
Mbowe alikua anakopesha jombera oooh.
 
Hakuna jipya hapo.
Kusanyiko la wahuni na wasaka tonge tu.
 
Ukombozi unakaribia,wahuni wameungana na wenzao.Hapo Kuna walioingizwa chaka na kuna waliovuta mpunga.

Sasa ACT nao wanajiuliza mbona na wao wameahidiwa mpaka wakaenda kusaini haraka haraka,sasa nn hiki!!!😄


Daaah
Kuna mmoja kaingizwa mkenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…