Video: Sheikh atoa amri wanawake waislamu wakipanda bodaboda wapigwe pamoja na madereva bodaboda

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Sheikh atoa amri wanawake waislamu wakipanda bodaboda wapigwe pamoja na madereva bodaboda
Hivi kwenye waislamu kuna watetea haki za kibinadamu na haki za watoto, wao huona vipi hizi sheria za dini yao.

Huwa siwaelewi wanawake waislamu humu JF namna hushupaza shingo na kutokwa mishipa wakitetea dini ambayo huwaona kama takataka.

Japo dini nyingi ni mifumo dume, hata mila zetu Afrika hunyanyasa sana wanawake ila kwa waislamu hupitiliza aisie.

Ukizingatia muasisi wa uislamu mohamad mwenyewe alifanya unyanyasaji wa kingono kwa katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa, nilishangaa sana akina FaizaFoxy wanatetea eti alikua sahihi kufanya hivyo maana enzi hizo iliruhusiwa kugegeda vitoto.

Hata alipouza watoto wa Wayahudi mateka bado wanaona poa tu

View attachment 3297908
hiyo amri kapewa nani? siamini kama kuna mtu mjinga kiasi cha kudanganywa ili afanye ujinga kama huo....anyway, ngoja tuone utekelezaji wake ndo tujue kama yaliyomo yamo kweli
 
Sheikh atoa amri wanawake waislamu wakipanda bodaboda wapigwe pamoja na madereva bodaboda
Hivi kwenye waislamu kuna watetea haki za kibinadamu na haki za watoto, wao huona vipi hizi sheria za dini yao.

Huwa siwaelewi wanawake waislamu humu JF namna hushupaza shingo na kutokwa mishipa wakitetea dini ambayo huwaona kama takataka.

Japo dini nyingi ni mifumo dume, hata mila zetu Afrika hunyanyasa sana wanawake ila kwa waislamu hupitiliza aisie.

Ukizingatia muasisi wa uislamu mohamad mwenyewe alifanya unyanyasaji wa kingono kwa katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa, nilishangaa sana akina FaizaFoxy wanatetea eti alikua sahihi kufanya hivyo maana enzi hizo iliruhusiwa kugegeda vitoto.

Hata alipouza watoto wa Wayahudi mateka bado wanaona poa tu

View attachment 3297908
Hii Sheria itatekelezwa huko Somalia
 
Sheikh atoa amri wanawake waislamu wakipanda bodaboda wapigwe pamoja na madereva bodaboda
Hivi kwenye waislamu kuna watetea haki za kibinadamu na haki za watoto, wao huona vipi hizi sheria za dini yao.

Huwa siwaelewi wanawake waislamu humu JF namna hushupaza shingo na kutokwa mishipa wakitetea dini ambayo huwaona kama takataka.
Ndiyo maana wameamua kujaa kwa Mwamposa kumbe hawana amani na dini yao
 
Huwa siwaelewi wanawake waislamu humu JF namna hushupaza shingo na kutokwa mishipa wakitetea dini ambayo huwaona kama takataka.

Japo dini nyingi ni mifumo dume, hata mila zetu Afrika hunyanyasa sana wanawake ila kwa waislamu hupitiliza aisie.
Anayezungumza ni ngozi nyeupe, hajui undani wa maisha ya wenye ngozi nyeusi, basi awanunulie magari au bajaj au yeye mwenyewe ahamie Iran huko
 
Leta hoja nzito , hizi hoja zako hauwezi kuitikisa uislamu ..Wenzio wana bajeti ya Trillion of Money kuangusha dini ila bado watu wanaongezeka ...Soma uislamu usifuate matamko ya watu sio kampeni za siasa hizo .

Fuatilia video kuanzia mwanzo mpaka mwisho .
 
Back
Top Bottom