PostGE2025 Video: Sheikh Mwaipopo wakati analia kuhusu mauaji ya Sheikh Majini Oktoba29, ila sasa anasema walistahili kuuawa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Habari Wakuu


Mitandao huwa inatusaidia sana kuwaumbua watu wenye magamba mawili, Jana Oktoba 30, 2026, Sheikh Mwaipopo alidhihaki sana Misa iliyofanywa na Kanisa Katoliki kuwaombea Waliouawa wakati na baada ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025, akaenda mbali kusema dhambi ya kuuwa wakati mwingine siyo dhambi hivyo waliouawa walistahili kuuawa.

Bahati nzuri Mtandao nao unatukumbusha huyu huyu Sheikh Mwaipopo wakati anatangaza Kifo cha Sheikh Sharifu Majini kwa kupigwa risasi akiwa nyumbani kwake hiyo Oktoba 29 hata baada ya kuwapigia kura wauaji.

Hadi nimekumbuka kIbwagizo cha "Dunia ina mammbo..........."😭

Soma pia Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa


Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.

​
 
Hilo ni moja ya machoko ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…