njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
[emoji106][emoji106]naweka bando later nitakutumia au ingia through browser ya kawaida
utopolo wanasema alisahau funguo ya gari,wengine wanasema pete ya ndoa, yaani vitukoooInatakiwa iendelee tuone ni kitu gani...
Yani inakera kweli mi nilijua ilo tatizo ninalo peke yanguJf fanyeni kitu kwenye huu utaratibu wenu mpya unaboa... Tunaotumia app hatuwezi kuview hiyo attachment
Aisee hata mieYani inakera kweli mi nilijua ilo tatizo ninalo peke yangu
Wakati mwingine moderators wanakurupuka Sana..niliwahi kuanzisha uzi kuhusu Tundu Lissu kuzuiwa kutumia kivuko huko ukerewe wakaufuta uzi..baada ya siku wakaanzisha uzi Kama ule ule.ilifutwa nikairudisha hata jana niliweka ya simba kuwa ya kwanza east and southern africa kufikisha followers millions 2 instagram ikafutwa pia.