VIDEO: Shikalo akiomba kitu kitolewe golini

VIDEO: Shikalo akiomba kitu kitolewe golini

ilifutwa nikairudisha hata jana niliweka ya simba kuwa ya kwanza east and southern africa kufikisha followers millions 2 instagram ikafutwa pia.
 
Inatakiwa iendelee tuone ni kitu gani...
 
Ile ni Ndumba.

Na yule aliyechukua ndio yake.
Alimkumbusha
Mganga.
"umeiweka wapi ile kitu?"
Kipa.
"pale kwenye kona ya goli kushoto"
 
ilifutwa nikairudisha hata jana niliweka ya simba kuwa ya kwanza east and southern africa kufikisha followers millions 2 instagram ikafutwa pia.
Wakati mwingine moderators wanakurupuka Sana..niliwahi kuanzisha uzi kuhusu Tundu Lissu kuzuiwa kutumia kivuko huko ukerewe wakaufuta uzi..baada ya siku wakaanzisha uzi Kama ule ule.

Sijui wanadhani tunakurupuka kuandika??!!!
 
Back
Top Bottom