Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Cha kuongezea anza kujifunza kutumia program kama final cut, adobe premier pro, after effects na nyinginezo tutorial zipo youtube.
#DG
#DG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FactKatika sehemu nilipokuja kujua hujui lolote kwenye hii tasnia ni kwenye hiki ulichoandika hapa. Kha...so sad
Unasema camcoder quality ya zamani? Hiiiiiii, hv izo tv tunazoangalia kila siku studio wanatumia dslr? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza DSLR tunatumia kwenye matukio mafupi mafupi kama ku shoot movie za kibongo, muziki nk kwakuwa dslr hata iyo 5d mark 4 haina clip ya lisaa limoja mfululizo, dslr zinachemka, clip zina time limit, not flexible on handling kwa matukio ya ku move na nyingi zina focus struggle
Camcoder ndio maalumu kwa video, ina fast focus, inaweza shoot hata masaa matatu mfululizo bila ku heat wala kuwa na limitation. Sasa kachukue DSLR yako sijui Mark IV kashoot harus kanisani kisha uende nayo ukumbini pia ukashuti masaa manne. Kama hutopigwa mawe na wenye mkanda kwa kumis matukio.
Ushauri wangu kwa muuliza swali
Tafta Camcoder kwa kazi kubwa. Na zina uwezi wa video kuliko dslr. Tafuta DSLR kwaajili ya short shooting, photos in and out doors, movies zenye script, au matukio yenye script, lakini sio mengineyo. Sio non stop or continuous events
Mkuu vipi canon d700 kwa video je?1. camera nzuri za video , kwa kuanzia angalau 2.. canon 5d mark 4 zinatumika sana na wengi
2. light kit, taa za video za kutosha.. kuna ring right, led light, kubwa na ndogo za kufungwa kwenye camera
3. computer nzuri ya kuediti kazi.. wengi wanatumia mac, zenye ram kubwa not less than 8gb, processor kubwa ya kisasa, etc
4. flat screens angalau 2 za kuanzia na projector 2 zenye lumens kubwa.. not less than 3500 lumens.. ukumbini kwenye masherehe lazima uwe na video displays kubwa kuonesha tukio
5. eneo au ofisi ya kufanyia indoor shoot, iwe ya video au kupigia picha.
6. camera za kupigia picha angalau 2, wengi wanatumia nikon full frame yeyote inafaa
7. vikorombwezo vya camera ya picha, kama speedlights, lenz za size tofauti tofauti, etc
kwa kuanzia ni hayo tu... mengine ni knowledge kubwa sana ya kushoot na kuedit picha na video
hivyo ndivyo nilianza navyo.. na ndivyo muhimu sana.. vingine nakuwa nakodi tu nikiwa na kazi yenye mahitaji makubwa
by ceo wa mobile studio mabibo hostel (@photo_studio_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos
Ina video za kufaa hasa entry level naipa satisfactory ila tumia dslr kama nilivoshauri hapo juuMkuu vipi canon d700 kwa video je?
Katika sehemu nilipokuja kujua hujui lolote kwenye hii tasnia ni kwenye hiki ulichoandika hapa. Kha...so sad
Unasema camcoder quality ya zamani? Hiiiiiii, hv izo tv tunazoangalia kila siku studio wanatumia dslr? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza DSLR tunatumia kwenye matukio mafupi mafupi kama ku shoot movie za kibongo, muziki nk kwakuwa dslr hata iyo 5d mark 4 haina clip ya lisaa limoja mfululizo, dslr zinachemka, clip zina time limit, not flexible on handling kwa matukio ya ku move na nyingi zina focus struggle
Camcoder ndio maalumu kwa video, ina fast focus, inaweza shoot hata masaa matatu mfululizo bila ku heat wala kuwa na limitation. Sasa kachukue DSLR yako sijui Mark IV kashoot harus kanisani kisha uende nayo ukumbini pia ukashuti masaa manne. Kama hutopigwa mawe na wenye mkanda kwa kumis matukio.
Ushauri wangu kwa muuliza swali
Tafta Camcoder kwa kazi kubwa. Na zina uwezi wa video kuliko dslr. Tafuta DSLR kwaajili ya short shooting, photos in and out doors, movies zenye script, au matukio yenye script, lakini sio mengineyo. Sio non stop or continuous events
Anyway kwa kukazia kama wadau hapo juu.chakwanza lazima uwe na Business plan nzuri then tiririka na hayo Mengine.Habari za wkend wakuu
Mda umefika wa mimi ku own kampuni yangu sasa,nimekaa nimejitahidi kuangalia ideas mbali mbali ila nikaona hii ya video shooting/editing itanifaa zaidi kwa sababu pia ina relate na fani yangu niliyosomea ya IT itakua rahis ku catchup vitu na kuindesha kwa ufasaha zaidi pia kitu kingine biashara hii unaweza ukaichanganya kwa pamoja na upigaji picha,utengenezaji wa mabango,logos,na vitu vinavyo relate na hvyo.nilikua na ideas mbili kichwani hii niliyoandika hapa na restaurant & fast food ila naona hii ikae pembeni kwanza ina risk nyingi kiasi.
Nimekujaa hapa wakuu naomba ABC za hii biashara ya video shooting,editing and picture taking.soko langu kubwa najua itakua maharusi,vipaimara,sendoffs, event mbali mbali n.k..nataka kujua mahitaji yote ya vitu na vifaa vinavyohitajika,nitawatafuta wataalam pia kujua zaid ila nataka nianzie hapa kujua abc za mambo haya
Asanteni sana
Fuata ushauri huu, DSLR kwenye focus ni shida. Labda kama tukio sio la kumoveKatika sehemu nilipokuja kujua hujui lolote kwenye hii tasnia ni kwenye hiki ulichoandika hapa. Kha...so sad