Video shooting and editing company

Cha kuongezea anza kujifunza kutumia program kama final cut, adobe premier pro, after effects na nyinginezo tutorial zipo youtube.

#DG
 
Mkuu na mimi ngoja nikushauri.

Jambo la awali kabisa kwenye biashara ni kufahamu potential clients wanataka nini na kujua njia bora yakuwahudumia.

Hilo ni muhimu sana.

Unajua wakati mwingine unaweza ukaona business flani ni nzuri kumbe hiyo ni vile unavyoona wewe na si chaguo la wateja wako.

Wajasiriamali wengi wanaangukia kwenye huu mtego.

Nilitaka tu kukukumbusha ili iwe angalizo wakati unaandaa business strategy yako.

Mwisho niseme hongera sana nakutakia mafanikio kwenye biashara yako. Hii ndiyo business ya kwanza?

I co-own vegan restaurant in Arusha.

Nimejaribu biashara nyingi nimeshindwa nyingi ila nimejifunza mengi. Na ndiyo msingi wa mafanikio.
 
Fact
 
Mkuu vipi canon d700 kwa video je?
 
Safi umemrekebisha vyema sana.nadhani hajajua why kuna Dslr cameras na Hizo Camcorder. Bt hakika amejifunza
 
Anyway kwa kukazia kama wadau hapo juu.chakwanza lazima uwe na Business plan nzuri then tiririka na hayo Mengine.
-sio lazima uingie Gharama kubwa za Mark4, waweza tafuta camera zozote zenye Full frame hasa canon/sony recommended. Kuna hizo Dslr za canon 5d mark II or III pia 7d,80d etc Lakini pia kuna sony Alpha a7s I, II pia kuna D series kama D5300 na kuendelea(mirrored /mirroless). Chamsingi ziwe na lens makini.
KITS
-LENS
-LIGHTS (flash lights, fluorescent lights, tungsten lights pia LED lights).
Na mengineyo kama alivyoeleza bwana FRESHMAN. Hapo juu japo now days mambo ya PROJECTOR yalishapitwa na time hapo funga ukumbini FLAT SCREENS ZAKO hata4 maana ushindani ni mkubwa sana now days.pia PRINTER muhimu kuwa nayo maana PICHA sikuhizi tunasafisha ukumbini hapo hapo hakuna cha kusema kesho. So inaongeza mapato ya haraka sana per Day katika Event.
Dah mambo mengine watashuka wadau. Im Tired.
#ila usinisahau Ajira[emoji38] maana ndio mambo yangu haya im Colourist, Sound Eng.,Camera operator & Editor.
 
Fuata ushauri huu, DSLR kwenye focus ni shida. Labda kama tukio sio la kumove
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…