Weee Miguna ndiye atakayerithi mikoba ya Raila Miguna he is gentlemenRaila ni mwanasiasa. Miguna Miguna ni mwanamgambo wa kikundi haramu cha Makande Army. Mambo mawili tofauti.
Labda kama maana ya jina gentleman ilibadilika. Loud, arrogant, know it all ndio majina kadhaa ambayo yametumiwa kueleza tabia zake Miguna. Ila ni mkenya mwenzetu na hadi sasa hivi sijaelewa kwanini wanamsumbua sumbua.Weee Miguna ndiye atakayerithi mikoba ya Raila Miguna he is gentlemen