Video siasa za Upinzani Afrika,Miguna Miguna akataa kurudishwa Canada

Video siasa za Upinzani Afrika,Miguna Miguna akataa kurudishwa Canada

chabuso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
6,380
Reaction score
5,884
Wadau haya ndio mambo yanayotokea katika nchi jirani ta Kenya,mwanasiasa mpinzani wa Kenya Miguna Miguna jumatatu ya tarehe 26-03-18 Uhamiaji kenya walitaka kumrudisha Canada kwa vile inasemekana jamaa ana uraia wa Canada....

Bonyeza kwenye "attached files" ili uangalie video...burudika na hii movie halafu toa maoni yako

miug.jpg
 

Attachments

Raila ni mwanasiasa. Miguna Miguna ni mwanamgambo wa kikundi haramu cha Makande Army. Mambo mawili tofauti.
 
Why is he being given too much attention since some say he is insignificant? All this shenanigans being done to him only serve to make people want to know about him..Since some say he is insignificant then they should just ignore him....Afterall Raila is not going to go against the “handshake”...I thought they said he lacks political clout?
 
Weee Miguna ndiye atakayerithi mikoba ya Raila Miguna he is gentlemen
Labda kama maana ya jina gentleman ilibadilika. Loud, arrogant, know it all ndio majina kadhaa ambayo yametumiwa kueleza tabia zake Miguna. Ila ni mkenya mwenzetu na hadi sasa hivi sijaelewa kwanini wanamsumbua sumbua.
 
Back
Top Bottom