Video: Sikiliza dira ya Rais wa Botswana halafu linganisha na kwetu. Utagundua sisi tupotupo tu

Video: Sikiliza dira ya Rais wa Botswana halafu linganisha na kwetu. Utagundua sisi tupotupo tu

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,990
Reaction score
3,824
Rais wa Botswana Duma Boko anaeleza kuwa kuna changamoto kubwa sana katika mchakato wa tenda za miradi na hivyo atahakikisha wananchi wote wanashirikishwa kwa ukubwa katika mchakato huo.
 
Huku raisi ilibidi kuwa msanii wa taarabu na bongo movie kaachia ile movie yake ya wanyama mpaka leo ijulikani pesa kala mwiguru.

Tuna subiri kuingia studio kutoa albamu taarabu ambazo kutakuwa na vibao kama.

1.mama la mama abduli ft lucas mwashamba.
2.kifo ni kifo ft Kama sirro na Charamira.
3.masheteni ft charamira
4.mitano tena Ft chawa wote
5.kenge washugulikiwe ft tulia na bunge.
6.kizimkazi ft dotto magari na makala
7.bilion za mama ft mwiguru
 
botswana >85% Christians, so its defacto a Christian nation siyo kama tanzagiza …
 
Back
Top Bottom