Video: Sikiliza jinsi Shirika la Afya la Dunia (WHO) linavyojipanga kukabili population Afrika

tamsana

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
3,739
Reaction score
8,044
Salam wana jukwaa.
Kwenye video ni Dr. Wahome kutoka Kenya mbele ya Mhe. Museven, Rais wa Uganda akimwelezea jinsi WHO inavyojipanga kupitisha sheria au protocol ambayo itaipa nguvu katika kufanya maamuzi kuhusu masuala mbalimbali ya afya.
Swali la kujiuliza ni je, wataalam wetu wamejipanga vipi na msimamo wa nchi ni upi katika majadiliano hayo?
Sikiliza kwq utulivu neno kwa neno:

Your browser is not able to display this video.
 
Wataalamu gani tulio nao? Hawa wataalamu ambao mzungu akisema kuna chanjo ya Umasikini watairukia na kuipigia chapuo harakaharaka bila hata kujitathimini wao wanalinda afya za watanzania au wanafanya uwakala wa mipango ya kiafya ya mataifa ya magharibi?

COVID-19 chanjo zake zimeprove kuwa na madhara, sijaona tamko la wizara ya afya kutuambia kwann walishiriki kuwalazimisha watanzania kuvaa mbarakoa sijui chanjo bila sababu.
 
Wazungu wanamuona threat muafrica kupitia kuzaliana kwa sababu wanaamini tukizaliana tunawaongezea mzigo wa race isiyo na akili duniani
 
doh hio ya cervix cancer wamechoma watoto wetu juzi kati na dogo wangu ana miaka saba wamemdunga pia
nilipigia simu waalimu nikawaambia kama kuna issue yeyote inayohusu afya za watoto wetu ni lazima tujulishwe
ila nikagindua probably ni maelekezo ya wizara mchakato uende kimya kimya bila kuutangaza maana wabongo wamesanuliwa upimbi wa chanjo na Hayati JPM na ukizingatia chanjo za COVID19 zime backfire kinomanoma
kiufupi wataalamu wetu wanatuuza kila mtu ajiangalie mwenyewe kitengo kipo compromised
 
Was*nge sana hawa wanaojiita wataalamu, kupenda pesa za haramu wakiona ni ujanja.
 
Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…