Hii nchi jau sana aisee, hamna anaeipenda hii nchi. Binafsi sipendezwi na hizi sifia sifia za kila leo.
Hamna anaeonesha kuipenda nchi zaidi ni kumpenda raisi pekee. Yani hiyo "Samia tunakupenda" ingekua "Tanzania tunakupenda" ingekua bora sana na ingepanda mbegu nzuri kwa vizazi vijavyo, Tanzania haifi ila Samia atakufa.