CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
play video hayo usikilize madini ya le generale utopoloTutaona thread za ajab sana leo
Utopolo wote wako hivyo kuanzia viongozi, wachezaji,wanachama na washabiki,uwezo wao wa kufikiri ndiyo umeishia hapoSimba wachaaawiiiiiii ,miaka minne hatuna ubingwa tuna stress sisi kila siku wachezaji wetu wazuri wanapata majeraha...hayo ni maneno ya LE GENERAL UTO MASTER UTOPOLO muanzilishi wa jina mujarabu kabisa la utopolo
View attachment 1838346