SIRO BWANA ANAKUENDESHA MAKONDA..UNAKULA MANENO YAKO MWENYEWE KABLA KUWA ANAPELEKWA MAHAKAMANI BAADA YA KUKUTWA NA MSOKOTO NA KARATASI...SASA IWEJE MUBADILISHE ? MNAJIABISHA
Leo February 8, 2017 Kamanda wa Polisi wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa jeshi lake bado linamshikilia Wema na wenzake saba ambao walikamatwa na vielelezo na kuwa jalada lao limepelekwa kwa wakili wa serikali alipitie ili aone ushahidi uliopo pamoja na kupata majibu kutoka kwa mkemia mkuu wa serikali kubaini kama kweli ni mtumiaji wa madawa ya kulevya.
Lugumi wanamwogopa ana magumiHivi lugumi na yeye hajaitwa?
Tuwaache wafanye kazi zao, na ile ya kujirekodi akiwa rumande nayo ni issue.
Utafikiri hawatakufaga.Mungu yupo mtetezi wa mwisho.Mimi nawashangaa sana mtu kumkomoa binadamu mwenzie alafu anamuomba Mungu.ee Mungu ukampiganie wema jamaniii ananiumiza roho yule Dada.uwashushie magharika yule anayepanga kumkomoa Wema Sepetu,uendelee kumbariki na uwaaibishe wale wanaofurahi kuteseka kwake amen.Kukomoana.com
Lidocaine.....toa lid weka c......cocaineUtafikiri hawatakufaga.Mungu yupo mtetezi wa mwisho.Mimi nawashangaa sana mtu kumkomoa binadamu mwenzie alafu anamuomba Mungu.ee Mungu ukampiganie wema jamaniii ananiumiza roho yule Dada.uwashushie magharika yule anayepanga kumkomoa Wema Sepetu,uendelee kumbariki na uwaaibishe wale wanaofurahi kuteseka kwake amen.
Mungu hkubali dua ya mtu muovu maana mtetea uwovu na yy pia ni muovuUtafikiri hawatakufaga.Mungu yupo mtetezi wa mwisho.Mimi nawashangaa sana mtu kumkomoa binadamu mwenzie alafu anamuomba Mungu.ee Mungu ukampiganie wema jamaniii ananiumiza roho yule Dada.uwashushie magharika yule anayepanga kumkomoa Wema Sepetu,uendelee kumbariki na uwaaibishe wale wanaofurahi kuteseka kwake amen.