Video: Sirro aeleza hatma ya Wema Sepetu

Video: Sirro aeleza hatma ya Wema Sepetu

Wasanii wenzake wako kimyaa wanajiandaa na Valentine day na matangazo kibao insta wema akitoka lupango analakujifunza vihuruma vyake vile aache pia ile voice note imemuharibiaaa masikini mbu wakule wana ng'ata kama mbwa kunajamaa namfahamu r.I.p alitoka tu nyuma ya nondo akaugua maralia wiki tu akavuta kule sio kuzuri tujitahidi kufanya vitu vya halali tuepuke mkono wa sheria.
...ha ha ha ha..mbu wanang'ata kama mbwa!!??
.pole yake japo nimecheka kama mazuri!
 
Aliyemponza Wema ni MANGE KIMAMBI, tusijifanye kuzunguka mbuyu wakati ukweli unajulikana!
 
Back
Top Bottom