Wasanii wenzake wako kimyaa wanajiandaa na Valentine day na matangazo kibao insta wema akitoka lupango analakujifunza vihuruma vyake vile aache pia ile voice note imemuharibiaaa masikini mbu wakule wana ng'ata kama mbwa kunajamaa namfahamu r.I.p alitoka tu nyuma ya nondo akaugua maralia wiki tu akavuta kule sio kuzuri tujitahidi kufanya vitu vya halali tuepuke mkono wa sheria.