Uchaguzi 2020 Video: Sophia Mwakagenda aendelea na kampeni za kuomba Ubunge katika Jimbo la Rungwe

Uchaguzi 2020 Video: Sophia Mwakagenda aendelea na kampeni za kuomba Ubunge katika Jimbo la Rungwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ama kwa hakika Bawacha ni Taasisi imara mno! Imeimarisha sana uwezo wa kujieleza kwa wakina mama na umewapa ujasiri mkubwa mno.

Angalia video hii ya umati ukimshangilia Sophia Mwakagenda aliponadi sera za chama chake huku akiomba Ubunge.

 
Safi sana chadema, Maccm yaliacha kuandaa vijana wao miaka mitano yanafundisha vijana wao kutukana, kuteka, kupiga risasi na kuua wapinzani. Hakika chadema ndio chama imara zaidi na chenye viongozi wenye akili timamu kinachostahili kuongoza nchi hii
 
Hongera CHADEMA kwa kuwapa nafasi kina mama na mabint, mbali ya kina Mdee, Esta, Bulaya Na wengine wengi yupo binti matata Upendo anakubalika sana huko Geita wakiwemo wana CCM.
 
Hawa ndio wanamama wa kipekee tulionao wanaojielewa na kujitambua kwenye Chama chetu CDM, Sio yale makopo ya mboga mboga ya mlenda na kisamvu.
Mama yako nae anajielewa kama huyo? Na kama ndivyo, yeye amekueleza wapi tumuone? Achilia mbali swala yeye kugombea maana najua hilo haliwezi kutokea mpaka kiama.
 
Jikite kwenye mada
Kama huu ushauri ungeanzia kwa huyo Bavicha mwenzio anedai kuwa Mama wa watu walioko CCM hawajitambui ingependeza zaidi. Vinginevyo hata wewe bado hautaonekana mstaarabu.!
 
Aage salama.. hivi analia au anavumilia maana utalii unaishia hivyo..
 
Back
Top Bottom