VIDEO: Steve Nyerere acha kuiga iga

Nilishaisikia hiyo habari ya 'Masikini na Tajiri' kutoka kwa Muhubiri mmoja wa Arusha, ila sikujua na labda leo ndio najua kama naye alikopi kutoka kwa mtu.

Hivyo kuna uwezekano hata Steve hajaitoa kwa huyo bwana, labda naye kakopi kutoka kwa aliyekopi kutoka kwa aliyekopi kutoka kwa aliyekopi etc etc etc.
 
Steve Nyerere ni mzuri zaidi kwenye tasnia ya UKUWADI kuliko hiyo stand up comedy..!!

Yeye ndie ambae anawadangia akina Wema, Wolper, Kajala nk.

Sasa ni bora usimame zaidi kwenye UKUWADI kwani umeonyesha kuumudu kuliko comedy.
 
Aka kajamaaa bana cjui akili ndogo, cjui ni kik kanatafuta nlikuwa kanamponda eric omondi kwamba hajui kitu nikashangaa sana mtu a nafanya word tour hajui ila yy show tatu za dar peke ake tena ukumbi wanajaa washkaji zake tu uwoya, makonda, api nk, ndo utawaona leo kina mponda eric, nonsence [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Elimu Elimu Elimu. Eti East Africa's Stand Up Comedy!! Huyu hata akipambanishwa na JOTI tu anatupwa kulee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…