VIDEO: Steve Nyerere acha kuiga iga

VIDEO: Steve Nyerere acha kuiga iga

Huwa sikipendi hicho kibwengo hatari sijui cha wapi? Hata uigizaji wake sijawahi ufuatilia Labda huyu JK comedian afadhali huyu sijui hata anaigiza nn eti. Hicho kibwengo kikitokea kwa tv yangu nazima pia ni cha sisiemu ndio kabisaaaa
 
Wanaume wafupi hatuna matatizo wenye matatizo ni wafupi wenzetu wanaoamua kujidhalilisha kama bwana mkubwa hapa. Kinachotokea ni "Samaki mmoja akioza....."

Tujipange.
 
Wanaume wafupi hatuna matatizo wenye matatizo ni wafupi wenzetu wanaoamua kujidhalilisha kama bwana mkubwa hapa. Kinachotokea ni "Samaki mmoja akioza....."

Tujipange.
Ufupi ni kuanzia kimo gani? ili isionekane kama unafanya UCHOCHEZI hivi. Mwenzenu kalianzisha hapa tusubiri wadau nao watoe yao ya moyoni.
 
Huyu jamaa hana jipya zaidi ya kukopy mahubiri ya mchungaji Dunstan Maboya.

STEVE (anzia 4:56)

DUNSTAN MABOYA (Sikiliza 0:30)

TUMEKUSTUKIAAAA

Ila kupiga rambi rambi ni creation yake hakakuiga. Kakitaka kuinuka kisanaa na kapendwe kaachane na siasa njaa. By the way sijawahi kuona lolote la ziada kwenye sanaa yake.
 
Huyu ndugu ni bora ama arudi kwao nachingwea au afungue car wash.
 
hahahahahaha jf ni hatari..................
 
Ni aibu mtu mzima (above 50) kuiga maneno/mahubiri ya watu bila ku-acknowledge. Full plagiarism.
 
Ndg. Stiv Tafadhali rejea shule. Elimu ni bure
 
Back
Top Bottom