Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,811
- 2,916
Ufupi ni kuanzia kimo gani? ili isionekane kama unafanya UCHOCHEZI hivi. Mwenzenu kalianzisha hapa tusubiri wadau nao watoe yao ya moyoni.Wanaume wafupi hatuna matatizo wenye matatizo ni wafupi wenzetu wanaoamua kujidhalilisha kama bwana mkubwa hapa. Kinachotokea ni "Samaki mmoja akioza....."
Tujipange.
Ukiona ukikaa unajisemea "Natamani ningeongezeka nchi 2" jua wewe ni mfupi.Ufupi ni kuanzia kimo gani? ili isionekane kama unafanya UCHOCHEZI hivi. Mwenzeni kalianzisha hapa tusubiri wadau nao watoe yao ya moyoni.
Kimo cha Babbrah ni MFUPI ama MREFU?Ukiona ukikaa unajisemea "Natamani ningeongezeka nchi 2" jua wewe ni mfupi.
Babbrah ndiyo nani?Kimo cha Babbrah ni MFUPI ama MREFU?
Ila kupiga rambi rambi ni creation yake hakakuiga. Kakitaka kuinuka kisanaa na kapendwe kaachane na siasa njaa. By the way sijawahi kuona lolote la ziada kwenye sanaa yake.Huyu jamaa hana jipya zaidi ya kukopy mahubiri ya mchungaji Dunstan Maboya.
STEVE(anzia 4:56)
DUNSTAN MABOYA(Sikiliza 0:30)
TUMEKUSTUKIAAAA
HahahahahaaaaKipimbi hichi cha WAP?
Mkuu toka tukiwa shule watu wafupi walikuwa wanaongoza kwa vituko.hivi sifa za comedian lazima uwe MFUPI wa kimo?