VIDEO: Steve Nyerere amjibu Muna, afunguka A-Z ilivyokuwa

VIDEO: Steve Nyerere amjibu Muna, afunguka A-Z ilivyokuwa

kamwe kwa sala na dua naomba mke wangu ajage kuwa hata mbaya wa rangi lakin kichwani awe bright.
poleni sana wenye wake vichwani patupu.
Mkuu kaa sana upande wa MUNGU ili akuepushe usije ukaoa Mwanamke Malaya, omba sana MUNGU hilo lisikutokee. Mke mwenye hekima na busara anapatikana kwa BWANA MUNGU pekee, huko mitaani wamejaa Malaya wengi sana.

Hao akina Muna ni wengi sana mkuu, wamezagaa kila mahali.
 
Back
Top Bottom