Kuna kiongozi kasema hizi video ni za AI
Kuna kiongozi kasema hizi video ni za AI
Kiongoz wa hovyo, akaguliwe hadi vyeti. Amekuwaje seniour officer kwa akili mbovu namna hiyoKuna kiongozi kasema hizi video ni za AI
Mwambie matako yakeKuna kiongozi kasema hizi video ni za AI
Hakika, mama yupo proud na ushujaa wa mwanae. Samuya hatoboiHistoria itawakumbuka huyu mama na mwanae. Mama Ukombozi unakaribia.
Mama ana maumivu ya kumpoteza mwanae ila yuko proud na alichofanya mwanae.
R.I.P
Ila huyu samurai ni sikio la kufaMama anampigia saluti mwanae akitabasamu. Ujumbe tosha.
Kuna kiongozi kasema hizi video ni za AI
Historia itawakumbuka huyu mama na mwanae. Mama Ukombozi unakaribia.
Mama ana maumivu ya kumpoteza mwanae ila yuko proud na alichofanya mwanae.
R.I.P
Huyo kiongozi aliye sema hivyo ni mk#ndu kabisa kama yule General mk#nduππ©π©π©πππππKuna kiongozi kasema hizi video ni za AI
halafu ukipotea watu wataanza kulalamika hata kama upo nje ya nchi utapatikana tu enedelea na matusiHuyo kiongozi aliye sema hivyo ni mk#ndu kabisa kama yule General mk#nduππ©π©π©πππππ
We kijambio cha sa100 bushiri ...Ikulu ni sehemu takatifu siyo pango la makahaba na wahuni na wafiraji kina abdul.halafu ukipotea watu wataanza kulalamika hata kama upo nje ya nchi utapatikana tu enedelea na matusi
wewe endelea utakuja kulia kilio cha mbwa koko aliyepigwa risasi ya mbavuni eneheeeeeeWe kijambio cha sa100 bushiri ...Ikulu ni sehemu takatifu siyo pango la masahaba na wahuni na wafiraji kina abdul.
Mbwa mmoja jina lake Muliro anakwambia hii ni misiba ya kutengeneza; tunadharauliwa sanaHii ni moja ya video na picha ambazo zimegusa mioyo ya watu wengi kwenye mitandao ya kijamii. Inaonyesha mama aliyeonekana kutabasamu huku akimwaga machozi wakati wa kumuaga mtoto wake aliyeuawa kwa kupigwa risasi katika ghasia za Oktoba 29, 2025. Tabasamu lake linaonekana kama la furaha, lakini ndani yake limejaa huzuni kuu, ishara ya nguvu, ujasiri na upendo usio na mwisho.
Akiwa mbele ya jeneza, mama huyo alinyanyua mkono wake kutoa salute, kama heshima ya mwisho kwa mwanawe, akimtambua kama shujaa wa kweli.
Pumzika kwa amani, shujaa.
Hakuna hata haja ya kukagua vyeti, kwa kauli aliyoitoa inaonesha anakidhi vigezo vya kuwa seniour officer kwa utawala wa sasa.Kiongoz wa hovyo, akaguliwe hadi vyeti. Amekuwaje seniour officer kwa akili mbovu namna hiyo