Video: Taharuki yaibuka duka la simu baada ya mteja kulalamika kauziwa simu yenye matatizo huku wauzaji wakikanusha

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736

Kwa maoni yangu tatizo linaweza kuwa kwa mteja au kwenye duka

1. MADUKA

Kuna uwezekano mkubwa ni simu used au refurbished,

Simu zenye brand kubwa kama Samsung, Google Pixel, Iphone, Samsung ni gharama sana, hivyo kumekuwa na maduka mengi yanayouza simu ambazo zimetumika nchi za nje na huja kuziuza kama used na refurbished.

Baadhi ya simu hizi zina shida

2. MTEJA

Kuna wateja ni matapeli wanaobadilisha vifaa vya ndani khalafu wanarudi dukani kulalamika simu haifanyi kazi warudishiwe pesa au wapewe nyingine

wateja wengine ni careless, wanaharibu simu mfano simu imedondoka ikazima halafu wanataka kurudi dukani kupewa nyingine
 
View attachment 3546985

Kko nini 😄
Hivi ina maana mpk leo
Watu hawajui sim refub

Ova
 
Simshauri mtu aende duka la huyu jamaa. Ndio michezo yake anakuuzia simu ikikuzingua hana msaada na wewe anakuachia jumba bovu.
Screenshot_20260824-215558.jpg
Screenshot_20260824-215606.jpg
 
Back
Top Bottom