Video: Tamasha la albino Kenya, utanashati na urembo

Video: Tamasha la albino Kenya, utanashati na urembo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Tunawaenzi na kuwapenda watu wetu hawa, Mungu awabariki.
Tamasha limebeba jina la beauty behind the skin,

Tamasha limetumbuizwa na wanamziki mbalimbali wakiwa na ujumbe wa kukemea na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino).

Maoni yangu:
Nawapongeza sana wote walioandaa tamasha hili kwani ndugu zetu albino walikuwa wamekuwa na tafsiri tofauti kwenye jamii.

 
  • Thanks
Reactions: kui
This is a good way of making them feel accepted in the society.
 
Jokes aside, this's good Kenyans!, Kwa hili nawapa mia. I wish tufanye something similar to bring awareness pia.
 
Mr.and Ms. Albino will be crowned in August in Nairobi.
 
Back
Top Bottom