Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Its really upto you to see that most Tanzanians have blindly chosen a side becausw allegedy Raila is friends with Magufuli and so that automatically makes him your enemy.....i cant start convincing you not to ......we jamaa unafanya ujinga sana, unaeneza propaganda za chuki zinazozidi kugawa taifa lenu kwa faida za kisiasa tena katika wakati huu wa mgawanyiko mkubwa
Baadhi ya Watanzania wenye akili fupi watafurahia maana wanataka kuona mkipigana,, na Wakenya wajinga pia watashabikia huu upuuzi sababu ya chuki tu
Mambo yote yaliyotokea katka historia yaliyopandikizwa na wakoloni ni kusameheana na kuungana tu kwa faida ya wote
Wa Tz kumuunga mkono Uhuru sio tatizo, wapo wanaomuunga mkono Raila pia wengi na sidhani kama ina madhara sana, na wapo wengine hawana upande na wengine hata hawafuatilii kabisa huo uchaguziIts really upto you to see that most Tanzanians have blindly chosen a side becausw allegedy Raila is friends with Magufuli and so that automatically makes him your enemy.....i cant start convincing you not to ......
Ameenezaje chuki braza, ametupa habari adimu tuliyokuwa hatuifaham, bila kujua historia huwezi faham wapi unaelekea, wapi pa kusahihisha wapi pa kuacha. Ndio kuhabarishana huko.Wa Tz kumuunga mkono Uhuru sio tatizo, wapo wanaomuunga mkono Raila pia wengi na sidhani kama ina madhara sana, na wapo wengine hawana upande na wengine hata hawafuatilii kabisa huo uchaguzi
Kitu chenya madhara unachofanya wewe ni kueneza chuki za kikabila hapa, kati ya Kikuyu na Luo...believe me this is not good for anyone, chuki hujenga hasira na kuleta machafuko
Serikali gani ya wakikuyu? Angalia cabinet ya Uhuru kutoka Amina Mohammed hadi Matiang'i na Rachel Omamo hio ndo serikali na hao nilotaja hakuna hata mkikuyu mmoja. Endeleeni kuskiza propaganda za NASA.Pambaneni muondoe serikali ya wa Kikuyu nyie Wakenya
Se connecter à Facebook | FacebookSerikali gani ya wakikuyu? Angalia cabinet ya Uhuru kutoka Amina Mohammed hadi Matiang'i na Rachel Omamo hio ndo serikali na hao nilotaja hakuna hata mkikuyu mmoja. Endeleeni kuskiza propaganda za NASA.
Ningekuwa na ile ramani inayoonyesha zile sehemu ambazo zilipigia Jubilee kura ningeieka hapa uione. Vipi na wasomali, wamaasai, wameru, waembu, waborana n.k ambao walimpigia Uhuru Kenyatta kura? Hata 2013 Uhuru Kenyatta hangeweza kushinda kwa kura za wakikuyu na wakalenjin pekee yake.Haiwezekani Nchi inatawaliwa na Makabila mawili tu Kikuyu na Kalenjin hapana kabisa...manake ukishaform alliance ya Kikuyu na Kalenjin unajua utakua Rais...sasa nchi hiyo bora waigawe tu hamna namna
Ramani huna na ndio mana huwezi kudanganya ukweli ni kwamba haya makabila mawili ndio wameongoza nchi tangu uhuru kwann? Halafu kuanzia Governor bank kuu mkuu wa Polisi waziri wa fedha wote kikuyu / kalenjin huo ni ujinga kabisa...kama mbwai mbwai hayo makabira mengine yatachagua kujiunga na moja ya nchi zozote watakazotaka kwa mtindo wa kura ya maoni...kwanza Raila atapata sehemu kubwa ya nchi ikiwemo Nairobi,Kisumu na Mombasa kama tukigawana mbao....Ningekuwa na ile ramani inayoonyesha zile sehemu ambazo zilipigia Jubilee kura ningeieka hapa uione. Vipi na wasomali, wamaasai, wameru, waembu, waborana n.k ambao walimpigia Uhuru Kenyatta kura? Hata 2013 Uhuru Kenyatta hangeweza kushinda kwa kura za wakikuyu na wakalenjin pekee yake.