Video: Traffic akoswa na kifo Barabarani

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Ofisa wa usalama barabarani nchini Marekani amenusurika kufa kwenye ajali wakati akiwa kwenye majukumu yake mji wa Oklahoma.

Traffic huyo anaonekana akizungumza na dereva wa gari aliyoisimamisha, na ghafla gari nyingine inatokea na kuigonga ile iliyosimama.

ANGALIA VIDEO HAPA
Your browser is not able to display this video.


Written by Mjanja M1
📹 BBC
 
Hujaona kuwa madereva wa hayo magari mawili ndio walikuwa hatarini zaidi? Askari kasukumwa tu ila dereva mmoja gari imepigwa upande wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…