Video: Trafiki akijidhalilisha kwa kucheza barabarani

Video: Trafiki akijidhalilisha kwa kucheza barabarani

Machudaa

Senior Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
123
Reaction score
311
tabia ya hawa trafiki kufanya mambo ya ajabu ajabu barabarani yanadhalilisha jeshi la polisi. Hii inaendana kinyume na miiko ya kazi kabisa. Wengine mtapinga ila hii tabia imekuwa too much sasa kwa trafiki. Itapelekea hadi nidhamu kushuka.

Kwenye hii video nimeshangazwa sana na kusikitika.

nakumbuka kuna wale walipiga picha wanakula denda huku wamevaa uniform ya kazi. Sasa sijajua kama.walipiha mswaki au hawakupiga
 
Wanasema mpende mkeo hata kama kikojozi...likewise ipende kazi yako hata kama haikulipi kivileee

Dalili ya kupenda ndiko huko....hongera Traffic.
 
Hajidhalilishi.

Anaipenda na kuifurahia kazi yake.

Safi sana
 
tabia ya hawa trafiki kufanya mambo ya ajabu ajabu barabarani yanadhalilisha jeshi la polisi. Hii inaendana kinyume na miiko ya kazi kabisa. Wengine mtapinga ila hii tabia imekuwa too much sasa kwa trafiki. Itapelekea hadi nidhamu kushuka.

Kwenye hii video nimeshangazwa sana na kusikitika.
Kaangalia movie ya Rush Hour, Chris Tucker., na sio Traffic wa kwanza kufanya hivyo
 
Mleta mada, huoni kama jamaa hapo anaigiza na drone inaonekana kabisa
 
Back
Top Bottom