Hawa maaskari kutoka Bahi wanakera sana, unalazimishaje kuingia kwenye gari ya mtu na kutaka kuchomoa funguo? Gari yenyewe hata kukukimbia haiwezi, gari ina mali za mamilioni ya wafanyabiashara.
Rais kupitia kwa Inspekta Jenerali wa Polisi, sisi madereva tunakuomba uunde timu ya uchunguzi kufuatilia nyendo za Askari Trafiki wanaohudumu katika eneo hili la bahi. Wamejaa ubambikizi, ubabe, Rushwa na manyanyaso kwa madereva.
Sasa askari na mamlaka yote uliyonayo unashindana na kujibizana na dereva kama vile na wewe ni mpiga debe, iko wapi heshima na nidhamu ya jeshi la polisi?
Mwisho ukiona mpaka inafikia hivi dereva kuamua kulete vurugu hivi basi tutafakari kuwa kuna jambo halipo sawa mahala husika, hata hivyo malalamiko ni mengi sana kuhusu eneo hilo.
Swali la kujiuliza hapo ni kwanini Bahi tu na siyo Manyoni, Tinde ama Gairo? Kwani huko kote hakuna maokoto, si yapo na amani imetawala? Kinacholalamikiwa ni kuwa hapa kuna maokoto ya kulazimishwa, siyo yale ya fairplay.
Kwako Madam President,
Nakala kwa Mh. Masauni,
Inspekta Jenerali wa Polisi,
Kamanda wa Trafiki nchini.
Police hawa ni washenzi, hakuna sheria kwa traffic officer's kuchukua funguo za gari, ndio maana mpango wangu ni kulijenga upya jeshi la police ikiwa ni pamoja na kuwafuta kazi wote above 40yrs, nitaajiri young women's na men's under 30yrs, traffic officer's training yao itafanyika ndani ya Botswana 🇧🇼 maana ile nchi imethibitisha kuwa zero corruption kwenye mabarabara inawezekana, pls RTO wa Dodoma hawa maafisa fukuza straight, wameaibisha uniforms

Nakupinga, above 40 years huwa wastaarabu sana, virushwa vyao vidogo vidogo hawana makuu, wengi Wana ubidadamu, ukiona hapo wenye fujo ni between 25 to 35, ila swali langu Je Kwa kubinafsisha bandari na aina Hii ya Askari mizigo itaweza kufika Kwa Wakati!?

Niliposema above 40yrs wataondolewa, lengo ni kuweka msingi mpya na kuondoa kufanya kazi kwa mazoea, above 40yrs kuwabadilisha ni ngumu ndio maana unaona kila siku president anateua na kufukuza, cabinet tukipata totally new people's mabadiliko yatakuwepo, hakuna rushwa ndogo au kubwa zote ni rushwa, pale Botswana 🇧🇼 almost kuna zero corruption kwa traffic officer's, Zambia 🇿🇲 wameanza mapambano haya na wamebakisha only major check points, je tunahitaji more than 20 checks points Kati ya Dar na Moro?(200km),bandari nako ni vile vile ,we need young guy's kufanya kazi pale sio vizee vile vinavyofanya kazi kwa mazoea

Hata Hawa wazee WA Leo walikuwa damu changa kipindi Fulani, hivyo kunyanyapaa si sawa ila tuweke standards na wanapostaafu kusiwe na kizazi kinachopenda Rushwa!! pia sheria ziwe Kali na kupunguzwa Kwa checkpoints, hapo sawa
Halafu Hawa Polisi wanajua kurekodiwa Huku wanafanya kazi ni kosa, bila kujua public service unatakiwa Uwe open and responsible, nchi zote zilizoendelea Polisi huweze kuhesabika upo kazini kama hujawasha camera kukurekodi kila unachafanya!!!, Huku kwenye Taifa la Giza Nene, Polisi anatembea na Gari la kazini ambalo halina registration number!! What a shame!? Uhalifu unafanywa bila kunakiliwa
Hata Hawa wazee WA Leo walikuwa damu changa kipindi Fulani, hivyo kunyanyapaa si sawa ila tuweke standards na wanapostaafu kusiwe na kizazi kinachopenda Rushwa!! pia sheria ziwe Kali na kupunguzwa Kwa checkpoints, hapo sawa
Upo right mkuu ila nchi Ina ombwe la leaders ambao wapo kwa ajili ya kuongoza sio kujitajilisha,honestly hekalu la president jk amelijenga kwa kipato halali?kwangu kuwaondoa above 40yrs ni uamuzi mwema