DOKEZO Video: Trafiki wa Bahi wanamtia doa Rais Samia, wachunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Traffic Police wengi ni wala rushwa. Hio kofia (Crown) inawapa kiburi sana.
sio traffick wengi, ni traffick wote, hawawezi kuishi bila rushwa, na chochote walichokijenga au kununua ni ishara ya matunda ya rushwa, hilo hala Mungu analijua.
 
Sjaelewa mwishoni kapanda hilo gari kuchomoa nini?
 
Koma kuwazushia? Kila mtu bongo mingo mingo. Dereva naye anamuibia bosi wake mafuta mpaka mzigo, acheni traffic wafanye kazi.
Mbwa koko mna shida nyie kuzaliwa kwenye familia ya kimaskini halaf ukawa huna akili ni laana ni bora ungezaliwa mbwa tu ungekua na thamani
 
Serikali ikitaka iongeze mapato, iweke camera na speed radars. Akiwa booked control number na maelezo yatumwe kwa mwenye gari kwa njia ya sms, itume na eneo ilipopigiwa picha na link ya kuona kosa
 
Mbwa koko mna shida nyie kuzaliwa kwenye familia ya kimaskini halaf ukawa huna akili ni laana ni bora ungezaliwa mbwa tu ungekua na thamani
Idiot kabisa, ndiyo maana mnaendelea kudharauliwa. Hivi unaushahidi gani huyo dereva ni muadilifu?
 
Idiot kabisa, ndiyo maana mnaendelea kudharauliwa. Hivi unaushahidi gani huyo dereva ni muadilifu?
Hatujui ndo maana hili tukio ni la aibu sana linapaswa kuchunguzwa.

Ni aibu sana msimaizi na msimamiwa wakianza kuparaganyana hivyo.

Hapa siyo Ukraine, bado tuna rule of law mkuu
 
Idiot kabisa, ndiyo maana mnaendelea kudharauliwa. Hivi unaushahidi gani huyo dereva ni muadilifu?
Sasa anaedharauliwa si ni polisi hao kwa kua wengi hawana elimu na wametokea familia duni anachukua ufunguo wa gari anajua thamani hta ya tairi moja!? Ukoo wao wote hta wakijiuza hawawez nunua hta tairi moja ya gari
 
Kuna siku nlikua nasafiri kwenda tarime. Ile tumefika bunda kwa mbele traffic akasimamisha bus akapanda na kumuamrisha dereva ageuza gari kurudi kituoni bunda. Deree akamwambia siwez kugeuza bus hapa hapatoshi. Yule mmama akakomaa gari igeuzwe.
Bwana dereva akamuangaliaaa, af akasonya.
Ghafla chuma ikawekwa gia namba moja, mara mbili, mara tatu ikawa inapepea mwendo kibati.
Traffic akaanza kupiga yowe ashushwe, dereva anazidi kuzipanga tu na akafungua mlango kabisa ili kama anataka kuruka aruke.
Wooii, mayowe yakazidi, abiria full vicheko
Tumefika kiabakari, akamuuliza, unataka nkufikishe Tarime au unashuka?
Mmama wa watu akashuka na matusi mengi sisi haooo kibati.
Dawa yao ni hii.
Akilazimisha kupanda unaenda kumshusha mkoa mwingine
 
Mi kuna mmoja aliwaingia kwenye gari ya ofisi (sikutaka kujitambulisha japo uwezo wa nilikuwa nao )nikamkazia sasa akaingia kwenye gari twende kituoni mi nimamwambia poa,
Niliweka gia nikanyoosha mguu (kimbia speed) nikapitiliza kituo chao cha mchongo nikaendelea kwenda huku namwambia (leo utajua umeingia chimbo silo) nikaendelea mara nasikia (sasa unanipeleka wapi)nikamwambia wee twende tutajua huko tuendako, hapo nisha tembea kama kilomita 15 mbali kabisa yeye mwenyewe aliomba poo.
Nimefika mbali kidogo kikapaki bari nikamwambia (hapa ushahidi hakuna unashuka hushuki) anajibu huku ashafungua mlango anakimbilia kusoma namba mi gia safari na mpaka leo sijui aliishiga wapi maana sikupatwa na chochote pumbavu zake huko aliko
 
Sasa anaedharauliwa si ni polisi hao kwa kua wengi hawana elimu na wametokea familia duni anachukua ufunguo wa gari anajua thamani hta ya tairi moja!? Ukoo wao wote hta wakijiuza hawawez nunua hta tairi moja ya gari
Sheria msumeno
 
Hahahahaha

Hahaha [emoji38]

Duh

Ova
 
Swala ukaguzi kwa magari ni muhimu Sana na Askari lazima akague sisi hatuamin tufanya biashara Sana wahimiaji wanaopita hapa Africa ya.kusin
 
Traffic mmoja kaona ishakua shida katambaa mdogo mdogo kaondoka eneo la tukio, unfortunately it was too late
Alafu anamtonya mwenzake kiaina "Anarekodi" ila lile jinga halisikii🤣🤣
 
Hahaha dereva aliamua kuchukua maamuzi magumu. Safi sana🤣🤣
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Huko wilayani Bahi ilikuwa vuta nikuvute kwa dereva wa lori na askari wa usalama barabarani na dhahama kuzidi baada ya traffic husika kuchukua funguo.

Sheria inasemaje kuhusu traffic kuchukua funguo ya gari?

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…