Tunampaje pole kwa jaribio la kujiua?Maaskari wanakutana na changamoto nyingi sana kwenye kutekeleza majukumu yao ya kilasiku.
Hili ni moja ya tukio la kuogofya lililompata askari akiwa kwenye kutekeleza majukumu yake ya kulinda usalama wa raia na mali zao.
WOTE TUMPE POLE ASKARI HUYU
View attachment 2871349
NB: SIO UUNGWANA KUFURAHIA MATATIZO YANAYOWAPATA MAASKARI.
Nyeto ipewe heshima yake mkuuNyeto hzo
Tena alipaswa afeKilichomfanya ajiweke hapo mlangoni ni nini?
Amepata fundisho
Ilivyo, kikawaida kuna mamilioni ya video watu huchukua ya normal issues ilankuna baadhi ya video chache unafanikiwa kudata kitu unique ndio kama hii sio kwamba alijua imetokea kwa Bahati.Cameraman alijuaje kwamba jamaa ataanguka