The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA (T) safari hii na awamu ni very unique...
Ni wa kipekee kwa sababu awamu nne (2004, 2009, 2014 na 2019) ambazo mwenyekiti wa sasa Mh Freeman Mbowe alikuwa akishinda kwa ulaini kwa sababu ya udhaifu na prominent ya washindani...
Awamu hii, mwaka huu hali ni ngumu sana kwake. Ana mshindani very competent, very resilient, jasiri na mwenye ufahamu na uelewa mkubwa wa masuala ya chama na ya nchi na dunia kwa ujumla kuliko huyu mwenyekiti wake mkongwe kabisa...
Na akumbuke pia kuwa miaka hiyo aliyogombea na kupita, chama kilikuwa kimoja. Adui aliyekuwa anampinga alikuwa yule wa nje, CCM/ serikali na mifumo yake. Na kwa sbb hii, chama na wanachama wote walisimama kumtetea na mara zote alishinda kwa kishindo. This time kwa mikono yake mwenyewe kakigawa chama kwenye makundi na yeye kubaki na kundi ndogo tu huku akipata support kubwa toka kwa waliomnyanyasa miaka yote hii CCM na serikali yake, eti wanampenda na ni maana kwao...
Ni kama amekosa akili ya kuliona hili unless awe anajua anachokifanya...!!
Kwa kuwa tunataka tuwafahamu wagombea hawa vizuri ili tupate kuwatofautisha kwa kutazama uwezo, uelewa na ufahamu wao wa masuala mbalimbali ili kuwapa wajumbe nafasi ya kufanya maamuzi sahihi, nawaletea video clips hizi tatu ambazo Tundu Lissu anajibu hoja mbalimbali zilizotolewa na mshindani wake mkuu Freeman Mbowe na wafuasi wake kuonesha kuwa yeye (Freeman Mbowe) bado ni relevant mwenyekiti wa CHADEMA na wakati huohuo mpinzani wake Tundu Lissu akisema you are out of time Mr mwenyekiti...!!
VIDEO #1: LISSU 👇🏻👇🏻AKIFAFANUA MAHUSIANO YAKE NA M/KITI WAKE YALIVYO SASA NDANI YA CHAMA KAMA VIOONGOZI KWAMBA KWA SASA WANA "CIVIL RELATIONS" zaidi kuliko kuwa "LEADERSHIP RELATIONS"
Video#2: HAPA 👇🏻👇🏻👇🏻LISSU AKIJIBU HOJA ZA HEZEKEA WENJE KUHUSU YEYE WENJE KUWA DALALI WA KUSAMBAZA RUSHWA ZA ABDUL AMEIR (mtoto wa Mwenyekiti wa CCM (T) na Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan) KWA VIONGOZI WA CHADEMA
VIDEO #3: HAPA 👇🏻👇🏻LISSU AKIJIBU HOJA ZA FREEMAN MBOWE KUHUSU KILE ALICHOKIITA "MAFANIKIO YA MARIDHIANO" KATI YA CHADEMA NA CCM/SERIKALI ALIZOZITOA SIKU YA J'MOSITAREHE 21/12/2024 WAKATI ANATANGAZA RASMI "KUINGIA MZIGONI" KUPAMBANA NA M/MWENYEKITI WAKE KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA KUWANIA UENYEKITI WA CHADEMA TAIFA..
## Kazi kwenu wana CHADEMA, wajumbe wa mkutano mkuu, wapiga kura wa kuamua nani awe mwenyekiti wenu 2024 - 2029...
##Ni wakati wenu wa kuamua mwali (CHADEMA) asuke apendeze au huyu mwali apigwe upara...
##Wapimeni kwa hoja hawa viongozi wenu. Mwenye hoja nzito, za kweli pamoja na sifa za kikatiba za kiongozi anayefaa kuiongoza CHADEMA, huyo ndiye mpeni kura na ndiye anayewafaa kuwa mwenyekiti wenu..
##Lakini kama mnataka kiongozi aliye "mradi kiongozi" ili mradi anawapa manufaa fulani ya sasa (ya kifedha au chumvi au sabuni), chagueni huyo...!
##Mimi ningekuwa mjumbe wa uchaguzi wenu, nisingefikiri mara mbili kumpa kura yangu Tundu Lissu. Huyu kwa nyakati na majira haya ya sasa ndiye kiongozi wa kuiongoza CHADEMA....
##Mr Freeman Mbowe is absolutely out of time and seasons. He's irrelevant for these times. Amesha - compromise na wale mnaowakosoa yaani CCM na ameshajiunga nao. Huku aliko (CHADEMA) ni ceremonial figure na atakuwa (mkimpa nafasi tena) "just a ceremonial chairperson" asuyeweza kuleta chochote kipya tena ndani ya CHADEMA ...!!
Na kwa kuwa yeye meenyewe kakataa kujiheshimu na kuacha wengine wenye uwezo zaidi, basi ajue kabisa aibu yake ndiyo aibu yenu...!!