Pre GE2025Video: Tundu Lissu ajibu hoja za Freeman Mbowe kuhusu Maridhiano na CCM/Serikali, Mahusiano yake na M/Kiti na hoja za Wenje kuhusu rushwa ya Abdul
Uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA (T) safari hii na awamu ni very unique...
Ni wa kipekee kwa sababu awamu nne (2004, 2009, 2014 na 2019) ambazo mwenyekiti wa sasa Mh Freeman Mbowe alikuwa akishinda kwa ulaini kwa sababu ya udhaifu na prominent ya washindani...
Awamu hii, mwaka huu hali ni ngumu sana kwake. Ana mshindani very competent, very resilient, jasiri na mwenye ufahamu na uelewa mkubwa wa masuala ya chama na ya nchi na dunia kwa ujumla kuliko huyu mwenyekiti wake mkongwe kabisa...
Na akumbuke pia kuwa miaka hiyo aliyogombea na kupita, chama kilikuwa kimoja. Adui aliyekuwa anampinga alikuwa yule wa nje, CCM/ serikali na mifumo yake. Na kwa sbb hii, chama na wanachama wote walisimama kumtetea na mara zote alishinda kwa kishindo. This time kwa mikono yake mwenyewe kakigawa chama kwenye makundi na yeye kubaki na kundi ndogo tu huku akipata support kubwa toka kwa waliomnyanyasa miaka yote hii CCM na serikali yake, eti wanampenda na ni maana kwao...
Ni kama amekosa akili ya kuliona hili unless awe anajua anachokifanya...!!
Kwa kuwa tunataka tuwafahamu wagombea hawa vizuri ili tupate kuwatofautisha kwa kutazama uwezo, uelewa na ufahamu wao wa masuala mbalimbali ili kuwapa wajumbe nafasi ya kufanya maamuzi sahihi, nawaletea video clips hizi tatu ambazo Tundu Lissu anajibu hoja mbalimbali zilizotolewa na mshindani wake mkuu Freeman Mbowe na wafuasi wake kuonesha kuwa yeye (Freeman Mbowe) bado ni relevant mwenyekiti wa CHADEMA na wakati huohuo mpinzani wake Tundu Lissu akisema you are out of time Mr mwenyekiti...!!
VIDEO #1: LISSU 👇🏻👇🏻AKIFAFANUA MAHUSIANO YAKE NA M/KITI WAKE YALIVYO SASA NDANI YA CHAMA KAMA VIOONGOZI KWAMBA KWA SASA WANA "CIVIL RELATIONS" zaidi kuliko kuwa "LEADERSHIP RELATIONS"
Your browser is not able to display this video.
Video#2: HAPA 👇🏻👇🏻👇🏻LISSU AKIJIBU HOJA ZA HEZEKEA WENJE KUHUSU YEYE WENJE KUWA DALALI WA KUSAMBAZA RUSHWA ZA ABDUL AMEIR (mtoto wa Mwenyekiti wa CCM (T) na Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan) KWA VIONGOZI WA CHADEMA
Your browser is not able to display this video.
VIDEO #3: HAPA 👇🏻👇🏻LISSU AKIJIBU HOJA ZA FREEMAN MBOWE KUHUSU KILE ALICHOKIITA "MAFANIKIO YA MARIDHIANO" KATI YA CHADEMA NA CCM/SERIKALI ALIZOZITOA SIKU YA J'MOSITAREHE 21/12/2024 WAKATI ANATANGAZA RASMI "KUINGIA MZIGONI" KUPAMBANA NA M/MWENYEKITI WAKE KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA KUWANIA UENYEKITI WA CHADEMA TAIFA..
Your browser is not able to display this video.
## Kazi kwenu wana CHADEMA, wajumbe wa mkutano mkuu, wapiga kura wa kuamua nani awe mwenyekiti wenu 2024 - 2029...
##Ni wakati wenu wa kuamua mwali (CHADEMA) asuke apendeze au huyu mwali apigwe upara...
##Wapimeni kwa hoja hawa viongozi wenu. Mwenye hoja nzito, za kweli pamoja na sifa za kikatiba za kiongozi anayefaa kuiongoza CHADEMA, huyo ndiye mpeni kura na ndiye anayewafaa kuwa mwenyekiti wenu..
##Lakini kama mnataka kiongozi aliye "mradi kiongozi" ili mradi anawapa manufaa fulani ya sasa (ya kifedha au chumvi au sabuni), chagueni huyo...!
##Mimi ningekuwa mjumbe wa uchaguzi wenu, nisingefikiri mara mbili kumpa kura yangu Tundu Lissu. Huyu kwa nyakati na majira haya ya sasa ndiye kiongozi wa kuiongoza CHADEMA....
##Mr Freeman Mbowe is absolutely out of time and seasons. He's irrelevant for these times. Amesha - compromise na wale mnaowakosoa yaani CCM na ameshajiunga nao. Huku aliko (CHADEMA) ni ceremonial figure na atakuwa (mkimpa nafasi tena) "just a ceremonial chairperson" asuyeweza kuleta chochote kipya tena ndani ya CHADEMA ...!!
Your browser is not able to play this audio.
Na kwa kuwa yeye meenyewe kakataa kujiheshimu na kuacha wengine wenye uwezo zaidi, basi ajue kabisa aibu yake ndiyo aibu yenu...!!
Uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA (T) safari hii na awamu ni very unique...
Ni wa kipekee kwa sababu awamu nne (2004, 2009, 2014 na 2019) ambazo mwenyekiti wa sasa Mh Freeman Mbowe alikuwa akishinda kwa ulaini kwa sababu ya udhaifu na prominent ya washindani...
Awamu hii, mwaka huu hali ni ngumu sana kwake. Ana mshindani very competent, very resilient, jasiri na mwenye ufahamu na uelewa mkubwa wa masuala ya chama na ya nchi na dunia kwa ujumla kuliko huyu mwenyekiti wake mkongwe kabisa...
Na akumbuke pia kuwa miaka hiyo aliyogombea na kupita, chama kilikuwa kimoja. Adui aliyekuwa anampinga alikuwa yule wa nje, CCM/ serikali na mifumo yake. Na kwa sbb hii, chama na wanachama wote walisimama kumtetea na mara zote alishinda kwa kishindo. This time kwa mikono yake mwenyewe kakigawa chama kwenye makundi na yeye kubaki na kundi ndogo tu huku akipata support kubwa toka kwa waliomnyanyasa miaka yote hii CCM na serikali yake, eti wanampenda na ni maana kwao...
Ni kama amekosa akili ya kuliona hili unless awe anajua anachokifanya...!!
Kwa kuwa tunataka tuwafahamu wagombea hawa vizuri ili tupate kuwatofautisha kwa kutazama uwezo, uelewa na ufahamu wao wa masuala mbalimbali ili kuwapa wajumbe nafasi ya kufanya maamuzi sahihi, nawaletea video clips hizi tatu ambazo Tundu Lissu anajibu hoja mbalimbali zilizotolewa na mshindani wake mkuu Freeman Mbowe na wafuasi wake kuonesha kuwa yeye (Freeman Mbowe) bado ni relevant mwenyekiti wa CHADEMA na wakati huohuo mpinzani wake Tundu Lissu akisema you are out of time Mr mwenyekiti...!!
VIDEO #1: LISSU 👇🏻👇🏻AKIFAFANUA MAHUSIANO YAKE NA M/KITI WAKE YALIVYO SASA NDANI YA CHAMA KAMA VIOONGOZI KWAMBA KWA SASA WANA "CIVIL RELATIONS" zaidi kuliko kuwa "LEADERSHIP RELATIONS" View attachment 3184284
Video#2: HAPA 👇🏻👇🏻👇🏻LISSU AKIJIBU HOJA ZA HEZEKEA WENJE KUHUSU YEYE WENJE KUWA DALALI WA KUSAMBAZA RUSHWA ZA ABDUL AMEIR (mtoto wa Mwenyekiti wa CCM (T) na Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan) KWA VIONGOZI WA CHADEMA View attachment 3184285
VIDEO #3: HAPA 👇🏻👇🏻LISSU AKIJIBU HOJA ZA FREEMAN MBOWE KUHUSU KILE ALICHOKIITA "MAFANIKIO YA MARIDHIANO" KATI YA CHADEMA NA CCM/SERIKALI ALIZOZITOA SIKU YA J'MOSITAREHE 21/12/2024 WAKATI ANATANGAZA RASMI "KUINGIA MZIGONI" KUPAMBANA NA M/MWENYEKITI WAKE KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA KUWANIA UENYEKITI WA CHADEMA TAIFA.. View attachment 3184288

Lissu ni culpable katika haya yote. Wakina Yericko na Ntobi wameanza kumshambulia hivi karibuni tuu wakati chawa wake kama wakina Msigwa walianza zamani kiasi kurusha madongo. Hata yeye alihuisika. Yeye alikuwa na uwezo kabisa wa kuwaambia wafuasi wake wamuheshimu Mbowe. Yeye kusema anahofia maisha yake akiwa na Mbowe wala haisaidii kama vile kuwaingiza Lema na Heche katika huu msuguano.
Mimi ningekuwa Mbowe ningekaa mbali na uongozi wa Lissu kwa sababu hatakawia kumuangushia jumba bovu mambo yakienda mrama.
What do you mean? Kwamba TL anahusika kushambuliwa kwa Freeman Mbowe mwenyekiti wake na mtu kama Msigwa?
Hoja za mashambulizi zilizoelekezwa kwa Freeman Mbowe ni very personal. Alipaswa Mbowe mwenyewe atoke na kujibu. Na TL mwenyewe in different occasions amesema wazi, hoja za Peter Msigwa zijibiwe na kwamba hatuwezi kumtukana na kumrushia maneno wakati anatoa shutuma kuhusu chama na mwenyekiti..
Na wote tunajua kuwa, yaliyokuwa ndani ya uwezo wa Tundu Lissu (M/M/Nyekiti) kuyajibu, aliyajibu akikitetea chama...
Fundi Mchundo huwezi kumtetea mtu au chama kwa kuukataa udhaifu wa huyo mtu au chama ulio wazi kabisa. Ni vyema kukubali na kusema huo ni udhaifu tutajaribu kila njia kuurekebisha. What's wrong with that..?
Amesema several times kuwa, hata yeye pia ana share fulani ya lawama hususani ktk masuala ya kuhusu maamuzi fulani ya chama aliyoshiriki kuamua. Freeman Mbowe ndiye kiongozi mkuu wa chama. Chochote kiendacho mrama ndani ya chama, anapaswa kila mara kukitolea ufafanuzi wa wazi na genuine...
Mtu wa namna hii kama Tundu Lissu anayekubali makosa yake ni mtu very responsible. Hii ni sifa muhimu ya kiongozi yeyote...
Hajasema anahofia maisha. Amesema, sijui nitakuwa na amani kiasi gani. Statement hii sio specific kuhusu hofu ya uhai tu lakini ni pamoja "general trust" miongoni mwa watu wawili wasioaminiana na kutofautiana. Possibly hata Freeman Mbowe nsye hamwamini mwenzake au baadhi ya wenzake...
Na kama kawahusisha Heche, Lema na wengine katika hili, unadhani anasema toka hewani? Wote hawa wapo, waulizeni....

Nani kumuangushia jumba mbovu mwenzake? Nani akae mbali na nani..?
Kwa maoni yangu, Freeman Mbowe kwa kazi aliyokwisha kuifanya ndani ya CHADEMA, alipaswa kuwa na HEKIMA na BUSARA zaidi hizi alizonazo sasa...
Uamuzi sahihi kwake ni angekiacha chama kwenye mikono salama...
As for now, TUNDU LISSU HAFUKUZIKI NDANI YA CHAMA kwa sababu hakuna hoja ya kuitumia kumfukuzia....!!
Na akumbuke pia kuwa miaka hiyo aliyogombea na kupita, chama kilikuwa kimoja. Adui aliyekuwa anampinga alikuwa yule wa nje, CCM/ serikali na mifumo yake. Na kwa sbb hii, chama na wanachama wote walisimama kumtetea na mara zote alishinda kwa kishindo. This time kwa mikono yake mwenyewe kakigawa chama kwenye makundi na yeye kubaki na kundi ndogo tu huku akipata support kubwa toka kwa waliomnyanyasa miaka yote hii CCM na serikali yake, eti wanampenda na ni maana kwao...
Uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA (T) safari hii na awamu ni very unique...
Ni wa kipekee kwa sababu awamu nne (2004, 2009, 2014 na 2019) ambazo mwenyekiti wa sasa Mh Freeman Mbowe alikuwa akishinda kwa ulaini kwa sababu ya udhaifu na prominent ya washindani...
Awamu hii, mwaka huu hali ni ngumu sana kwake. Ana mshindani very competent, very resilient, jasiri na mwenye ufahamu na uelewa mkubwa wa masuala ya chama na ya nchi na dunia kwa ujumla kuliko huyu mwenyekiti wake mkongwe kabisa...
Na akumbuke pia kuwa miaka hiyo aliyogombea na kupita, chama kilikuwa kimoja. Adui aliyekuwa anampinga alikuwa yule wa nje, CCM/ serikali na mifumo yake. Na kwa sbb hii, chama na wanachama wote walisimama kumtetea na mara zote alishinda kwa kishindo. This time kwa mikono yake mwenyewe kakigawa chama kwenye makundi na yeye kubaki na kundi ndogo tu huku akipata support kubwa toka kwa waliomnyanyasa miaka yote hii CCM na serikali yake, eti wanampenda na ni maana kwao...
Ni kama amekosa akili ya kuliona hili unless awe anajua anachokifanya...!!
Kwa kuwa tunataka tuwafahamu wagombea hawa vizuri ili tupate kuwatofautisha kwa kutazama uwezo, uelewa na ufahamu wao wa masuala mbalimbali ili kuwapa wajumbe nafasi ya kufanya maamuzi sahihi, nawaletea video clips hizi tatu ambazo Tundu Lissu anajibu hoja mbalimbali zilizotolewa na mshindani wake mkuu Freeman Mbowe na wafuasi wake kuonesha kuwa yeye (Freeman Mbowe) bado ni relevant mwenyekiti wa CHADEMA na wakati huohuo mpinzani wake Tundu Lissu akisema you are out of time Mr mwenyekiti...!!
VIDEO #1: LISSU 👇🏻👇🏻AKIFAFANUA MAHUSIANO YAKE NA M/KITI WAKE YALIVYO SASA NDANI YA CHAMA KAMA VIOONGOZI KWAMBA KWA SASA WANA "CIVIL RELATIONS" zaidi kuliko kuwa "LEADERSHIP RELATIONS" View attachment 3184284
Video#2: HAPA 👇🏻👇🏻👇🏻LISSU AKIJIBU HOJA ZA HEZEKEA WENJE KUHUSU YEYE WENJE KUWA DALALI WA KUSAMBAZA RUSHWA ZA ABDUL AMEIR (mtoto wa Mwenyekiti wa CCM (T) na Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan) KWA VIONGOZI WA CHADEMA View attachment 3184285
VIDEO #3: HAPA 👇🏻👇🏻LISSU AKIJIBU HOJA ZA FREEMAN MBOWE KUHUSU KILE ALICHOKIITA "MAFANIKIO YA MARIDHIANO" KATI YA CHADEMA NA CCM/SERIKALI ALIZOZITOA SIKU YA J'MOSITAREHE 21/12/2024 WAKATI ANATANGAZA RASMI "KUINGIA MZIGONI" KUPAMBANA NA M/MWENYEKITI WAKE KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA KUWANIA UENYEKITI WA CHADEMA TAIFA.. View attachment 3184288
## Kazi kwenu wana CHADEMA, wajumbe wa mkutano mkuu, wapiga kura wa kuamua nani awe mwenyekiti wenu 2024 - 2029...
##Ni wakati wenu wa kuamua mwali (CHADEMA) asuke apendeze au huyu mwali apigwe upara...
##Wapimeni kwa hoja hawa viongozi wenu. Mwenye hoja nzito, za kweli pamoja na sifa za kikatiba za kiongozi anayefaa kuiongoza CHADEMA, huyo ndiye mpeni kura na ndiye anayewafaa kuwa mwenyekiti wenu..
##Lakini kama mnataka kiongozi aliye "mradi kiongozi" ili mradi anawapa manufaa fulani ya sasa (ya kifedha au chumvi au sabuni), chagueni huyo...!
##Mimi ningekuwa mjumbe wa uchaguzi wenu, nisingefikiri mara mbili kumpa kura yangu Tundu Lissu. Huyu kwa nyakati na majira haya ya sasa ndiye kiongozi wa kuiongoza CHADEMA....
##Mr Freeman Mbowe is absolutely out of time and seasons. He's irrelevant for these times. Amesha - compromise na wale mnaowakosoa yaani CCM na ameshajiunga nao. Huku aliko (CHADEMA) ni ceremonial figure na atakuwa (mkimpa nafasi tena) "just a ceremonial chairperson" asuyeweza kuleta chochote kipya tena ndani ya CHADEMA ...!!
Na kwa kuwa yeye meenyewe kakataa kujiheshimu na kuacha wengine wenye uwezo zaidi, basi ajue kabisa aibu yake ndiyo aibu yenu...!!
nime soma mstari huu wa mwanzo wa mada, na mara moja fikra zangu zikageukia kule CCM. Sijui hali ita/inge kuwaje kama huko nako kungejitokeza watu jasiri wa kutaka taratibu za kumpata mwenyekiti wao zikawa 'competitive' kuliko utaratibu uliopo sasa!
Anyway, ngoja tujikite kwa haya ya CHADEMA kwanza.
Nikupongeze mkuu 'The Palm Beach' kwa kuweka mpangilio huu mzuri wa kuwaelezea watia nia hawa wawili. Umefanya kazi nzuri hata kama itaonekana kutokuwa kamilifu kwa wengine. Ni mpangilio mzuri.