Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣yaani caf nao wangese kweli kweli mambo haya yanafanyika kwenye top competition alafu wanaruhusu.
Mie nachoonaga kuwa kweli wazungu wanasema ukweli kuwa sie ni manyani ni pale ambapo uchawi wetu tunaelekezeana wenyewe kwa wenyewe waafrica baadala ya kumroga mzungu🤣🤣🤣🤣🤣Nachukia kweli huu upuuzi kwenye michezo. Turoge mengine lakini sio michezo
Kwa kweli caf wameshusha hadhi ya haya mashindano. Unaruhusu vipi kitu kama hicho kutokea katikati ya uwanja?Kwa kweli aibu nimeona mimi. Kwenye zama hizi za teknolojia hivi unafanyaje mambo ya hovyo kiasi hiki mbele ya kamera zinazorusha matangazo dunia nzima. Simba wajiandae tu kwa rungu la CAF...
Kuna ofisa mmojawapo pale alikuwa anachukua ushahidi. Adhabu zao zinakuja baada ya muda. Kama utakumbuka Berkane waliadhibiwa baada ya muda fulani kutokana na vurugu walizofanya hapa Dar.Kwa kweli caf wameshusha hadhi ya haya mashindano. Unaruhusu vipi kitu kama hicho kutokea katikati ya uwanja?
Dawa pekee ya vitu kama hivi ni kuifungia timu kutokushiriki mashindano na sio fine wanazotoa.
yaani uje na fake id yako uandike utumbo halafu ushinikize watu wajiuzulu nyani shida sanaKwa kweli aibu nimeona mimi. Kwenye zama hizi za teknolojia hivi unafanyaje mambo ya hovyo kiasi hiki mbele ya kamera zinazorusha matangazo dunia nzima. Simba wajiandae tu kwa rungu la CAF. Mambo ya hovyo hivi kwenye dunia ya leo hata kwenye ligi yetu hayafai.
Kuna haja gani sasa ya kuhangaika kusajili wachezaji toka Malawi, Kenya, Uganda, Zambia, Ghana, na kwingineko ili hali unaweza tu kusajili waganga wa kienyeji wa kutosha. Kuna haja gani ya kuajiri benchi la ufundi lililojaa wazungu na mpaka una mtu wa kutathimini mchezo wa mpinzani wako halafu unaenda kuloga kifala hivyo.
Ombi langu ni kuwa yoyote yule aliyeshiriki huo upuuzi awe Mo, Babra, Kaduguda, n.k ajiuzulu mara moja na ajiondoe Simba. Haiwezekani timu iliyojijengea heshima Afrika kwa takribani miaka minne sasa halafu inajishushia heshima kijinga hivyo. Hata kama kuna amsha amsha basi zingefanywa kwa siri sio hadharani kiasi kile kiasi zinataia aibu taifa na watanzania kwa ujumla.