mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Akili za Nyani ndipo zinapoishia. Wao kila kitu wanafikiri ni uchawi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Kama Iwe Mazoez Ndio Mlete Mambo Ya Kuwanga?Hii nahisi ni siku wanafanya mazoezi na sio jana.
Kwaio Ni Kitu Gani Kile?Akili za Nyani ndipo zinapoishia. Wao kila kitu wanafikiri ni uchawi.
Kwaio Ni Nn?Sasa hapo uchawi upo wapi?
Ile ilikuwa ni ' mind game ' tu ya kuwaingiza hofu Orlando japo haikufanikiwa.Aibu ya Taifa hii! Halafu bado walifungwa. Kipinde kile na FC Platinum, waliingia na Paka!
Simba bhana! Yaani wameturudisha kwenye Vita ya Majimaji ya mwaka 1905-1907! Wanaamini katika karatasi yenye maandishi ya 'Kiarab' bila shaka, ili kuvuka hatua ya nusu fainali!
Kocha anasema:Ile ilikuwa ni ' mind game ' tu ya kuwaingiza hofu Orlando japo haikufanikiwa.
Hakuna ulozi wowote uliofanyika hapo.
Subirini tarehe 30 mumchukie tena Inonga na baada ya mechi mkalale na viatu.
View attachment 2201778