Video: Uchawi haupandi ndege, juju la Simba halikuzaa matunda Johanesburg

Akili za Nyani ndipo zinapoishia. Wao kila kitu wanafikiri ni uchawi.
 
Tusitetee ujinga kwa ushabiki. Hapa kuna watu wanapaswa kuwajibika. Tuache kutetea ujinga kwa heshima ya taifa letu na soka letu kwa ujumla. Tusifumbie macho kisa ushabiki, hata wangekua Utopolo wamefanya hivi inapaswa mashabiki wao wakemee kwa pamoja na si kutetea ujinga
 
Kwa kweli nilipoiona hyo video sikuamini Kama club yetu inaweza fanya upuuzi km huo mbele ya uwekezaji mkubwa uliofanyika,mbele ya viongozi wenye uweledi mkubwa Kama Barbara...

Na ukizingatia Simba sio wageni wa hii michuano mikubwa Africa, nilidhani nguvu kubwa ingewekezwa kwenye tactics na plans mwalimu na bench zima la ufundi...

Hata Kama ndio wanasema michezo ya akili (mind games) bado Ni Mambo ya kizamani sana

Kwa mtindo huo soka letu Tanzania tutasubiri sana
 
Wakati kaduguda anasema aliweza kwenda kuroga usiku wa manane kwenye uwanja wa as vita na kufanikiwa kuwafunga As vita mbona hamkusema kitu

Kaduguda ndo kiongozi wa juu simba
 
Ile ilikuwa ni ' mind game ' tu ya kuwaingiza hofu Orlando japo haikufanikiwa.

Hakuna ulozi wowote uliofanyika hapo.

Subirini tarehe 30 mumchukie tena Inonga na baada ya mechi mkalale na viatu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…