Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Hakika,hekima ya uongozi hana,ispokuwa ana crame capability kubwa sana,ni jamii ya watu wanaopaswa kuwa wachungajiNiliandika hapa kuwa Lisu hafai kuongoza jambo lolote isipokuwa uwanaharakati tu.
Hana busara za uongozi kabisa.
Alishaharibu kabisa TLS ila watu walikuwa wanamsifia.
Ko kutokuwa expert wa video. Kunaondoaje uhalali wa video kutumika kama ushaidi?Walikataa isiletwe kwa kuwa shahidi hakuwa expert wa video bali picha mnato. Hiyo haimfutii uhaini
Yanastahili, yeye ndiye alisababisha vurugu za 29/10..lungangira na wenzake walipanga njama.
..vilevile walifanya vikao vilivyosuka mipango ya kupata silaha.
..wali-recruit wanajeshi ambao wangewapatia silaha, na wangetumia silaha kupokonya madaraka toka utawala uliokuwepo.
..Lungangira na wenzake walikuwa mpaka na hit-list. Walipanga kuuwa baadhi ya viongozi na waliwataja kwa majina viongozi hao.
..huo ndio mfano wa uhaini. Sasa linganisha na tuhuma dhidi ya Tundu Lissu.
..Uhaini ni kosa ambalo hukumu yake ni kunyongwa, kifungo kirefu, au maisha. Sasa kauli au matendo ya Tundu Lissu yanastahili hukumu iliyoelekezwa kwa makosa ya uhaini?
Yanastahili, yeye ndiye alisababisha vurugu za 29/10
Kumbe Lissu alitoka jela akaja kufanya uhalifu?!!!Bila yeye kuchochea wale wahuni wangeingia road kuchoma mali za watu na miundombinu??
Kumbe walipokawa wanachochea walitarajia nini??
Nakuambia lazima ale kitanzi
Aliongea anachokijua, alishajiandaa na wafuasi wake, acha kupenda na kutetea ujinga, unamuona mtu anakunya halafu wewe unakataa hanyi, wewe AKILI yako mavi km ya mwehu mwenzio LisuKumbe Lissu alitoka jela akaja kufanya uhalifu?!!!