VIDEO: Ukerewe kumenoga

VIDEO: Ukerewe kumenoga

Faida nyingine ya Ukerewe Ni kwamba wadada wa huku Ni wakarimu mno. Hasa upate wa kutoka KAKUKURU..wanajua kutiana Hawa!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Faida nyingine ya Ukerewe Ni kwamba wadada wa huku Ni wakarimu mno. Hasa upate wa kutoka KAKUKURU..wanajua kutiana Hawa!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wadada wa ukerewe, aliyekulia huko kandokando ya ziwa, kitandani wapo vizuri sanaaaaaaaa.
 
Wambie waache mambo ya ulozi, hao watu na wajita wana mambo hayo sana wanafanya hakuendelei. Wasomi kibao lakini wakishaondoka ndo nitolee hiyo...labda warudi kuzikwa tu kutokana na mambo ya ulozi.
 
Nilikuwepo hapo Christmas ya mwaka Jana na familia Yangu hakika nilifurahi Sana, nakumbuka baada ya kufika hapo nansio tulienda kijijini BUHIMA tukarudi usiku...
Samaki daily na udaga si mchezo
 

Attachments

  • IMG_20191218_140422.jpg
    IMG_20191218_140422.jpg
    311.3 KB · Views: 1
  • IMG_20191219_182453.jpg
    IMG_20191219_182453.jpg
    287.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom