Video: Ukipewa kitita cha dola moja utafanyia nini? Tazama majibu yake hapa

Kitita cha dola moja maana yake unaweza kuwa na dola mojamoja zimepangwa nyiingi zikafika hata dola milioni moja.

Hicho nacho ni kitita cha dola moja.

Kitita ni jamii ya burungutu 🀣🀣🀣
 
Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya kuwa wa kwanza kucheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hawa viumbe wanaijua tu hela, japokuwa kuitafuta kwao ni mtihani

Sikiliza matumizi ya dola 1
View attachment 2919253
Imagine huyu ni kijana mtanzania na kwa huu uchanganyaji wa lugha ni msomi labda yupo chuo kikuu. Na kajibu hivi.

Akiajiriwa pale wizarani si ataiuza nchi pesa ya nyanya kabisa.

Vijana tunazingua sana.
 
Kitita cha dola moja maana yake unaweza kuwa na dola mojamoja zimepangwa nyiingi zikafika hata dola milioni moja.

Hicho nacho ni kitita cha dola moja.

Kitita ni jamii ya burungutu 🀣🀣🀣
Zinaweza zikawa senti pia zimekusanywa zikafika dola moja. Usimtetee Mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…