Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Unapokuwa na raia wengi wamekimbilia nje ya nchi lazima wasaidiwe na mataifa makubwa kurudi kwa namna nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nenda kasome upya hiyo taarifa yako. Inamaana hujui kwamba hapo Djibout kwenye Mji wa Ambouli karibu na Mji Mkuu wa Nchi hiyo ndio Kuna Kambi kubwa na Jeshi la wanamaji la Marekani CAMP LEMBONNEIR ambayo ndio Kambi kubwa na Wanawaji ya Marekani kuliko zote Barani Africa?
Yaani ulitaka kwasababu Kuna Vita huko Ethiopia Basi Marekani iache kupeleka SUPPLIES na Mahitaji ya Wanajeshi wake takribani 40,000 walioko kwenye Kambi hiyo? Utakuwa umerogwa wewe.
Muulize MO anatafuta Nini Africa na Babra wake,kwao Ni India lakini wanafanya Nini Tanzania? Kama wewe huwezi kwenda kutafuta Fursa nje ya nchi yako Basi usitake na wengine wasije nchini kwako kutafuta Fursa.Jeshi La Marekani Linatafuta Nini Afrika
Muulize MO anatafuta Nini Africa na Babra wake,kwao Ni India lakini wanafanya Nini Tanzania? Kama wewe huwezi kwenda kutafuta Fursa nje ya nchi yako Basi usitake na wengine wasije nchini kwako kutafuta Fursa.
Marekani anatafuta Fursa dunia nzima Sio Afrika tu ndio maana ana Kambi za Jeshi dunia nzima ili kulinda Uchumi na Usalama wa Marekani.
Sera ya Marekani Ni kumfuta adui aliko kabla hajakaribia kwenye ardhi ya Marekani,Sasa Kama wewe unasubiri Mpaka uvamiwe shauri yako.
Na wewe Acha Ukaburu wa kutaka Wageni wasije Afrika kuweka Kambi zao za Kijeshi.Acha Utumwa wa fikra