njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Haya mambo ya watu kuheshimiana na kupendana hivi huwezi kuyakuta kwa makolo, manara wakati anayapigania makolo na kupiga marufuku washabiki wa yanga kuingia uwanjani mechi ya CAF Barbra alitoa statement ya klabu kupinga maamuzi yake, hawakumuunga hata mkono kwenye vita dhidi ya kitenge, Shafih dauda na prisca kishamba.
Ona jana fasta tu bada ya tukio la Arusha klabu yake ya yanga imemuunga mkono kwa kumshauri afungue kesi dhidi ya Jemedari Said, huo ndiyo uongozi bora wa kiuweledi utakaopeleka mbele soka letu siyo ujinga wa makolo.
Ona hii video hapa Senzo akimtuliza mkurugenzi huyo wa habari wa Yanga baada ya kumpa makavu Rais wa TFF Karia ,hii ilikuwa katika harakati za kuitetea team yake anayoipenda kwa dhati ya Yanga Afrika.
Hongera sana Senzo, wasiojua uongozi waje wajifunze kwako