Video: Usiku wa kisengeli wa Wema Escape One ni Aibu

Video: Usiku wa kisengeli wa Wema Escape One ni Aibu

OGTV

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2016
Posts
353
Reaction score
167
USIKU WA KISENGELI! HIVI VIGODOLO VIGODORO WATU KUTIKISA MATAKO SERIKALI ITAKATAZA LINI?
 
Hahahaa....haya mambo sisi wahalisia wa mambo tulishayasema siku nyingi sana.

Serikali haiwezi kuchunga maadili ya jamii.

Utapiga marufuku sijui video ya Snura isionyeshwe kwenye runinga lakini kwa wakati huo huo mambo yaendeleayo huku mitaani na ambayo wakubwa kwa wadogo wanaweza kuyaona, yanaendelea kama kawaida.

Halafu hizi habari za maadili zimejaa unafiki na umbuni [ostrich mentality] tu.
 
True kabisa, serikali iwajibike!
 
Kila kitu huwa na mipaka hata kama ndo uhuru, kwa upande wa pili wa shilingi uangalie jamii inapata faida gani kutokana na kitu unachokifanya,hii ndo Tanzania yetu bhana.dela na khanga moja ndo habari ya mjini.shameful
 
Hahahaa....haya mambo sisi wahalisia wa mambo tulishayasema siku nyingi sana.

Serikali haiwezi kuchunga maadili ya jamii.

Utapiga marufuku sijui video ya Snura isionyeshwe kwenye runinga lakini kwa wakati huo huo mambo yaendeleayo huku mitaani na ambayo wakubwa kwa wadogo wanaweza kuyaona, yanaendelea kama kawaida.

Halafu hizi habari za maadili zimejaa unafiki na umbuni [ostrich mentality] tu.
Sioni mantiki ya majibu yako.. Kwamba kwa sababu ngono inafanyika wazi wazi vichochoroni basi nayo iruhusiwe na serikali kuonyeshwa hadharani runingani sio? Hii tabia ya baadhi ya watu kujifanya manabii uwa inanishangaza sana. Eti sisi wengine tulishasema
 
Kwani hapo ilipofanyika watoto walikuwepo?

Ubantu umo nasi milele, hata ngoma mashuleni wanafunzi wanakatika viuno...kutumbuiza hata siku za kusherekea kumaliza shule..tena wanavikata haswa, mbele ya wazazi na waalimu...na olikuwa furaha bila fikra mbovu. leo eti fyuu sijui fyaaa...mnalazimishwa kufungua hizo video kuangalia...ufeki mwingi umejaa watu sababu ya unini sijui...eti wai sijui wai sijui nini...wamekodi sehemu hawajaja majumbani mwenu kuwachezea watoto wenu...mzazi ukimruhusu mwamao hata mitaani kuangalia ni utajiju wewe na unavyolea...

Utamaduni wa kukata viuno umo ndani yetu, muwaache wanaopenda waburudike, kama uzungu sijui unini pelekeni hukoooo.
 
acha zako,wafungie na wakat sisi tunapenda.kwanza ahsante kwa video nzuri bila shaka hata wewe umeipenda ndo mana umeileta humu.
 
Sioni mantiki ya majibu yako.. Kwamba kwa sababu ngono inafanyika wazi wazi vichochoroni basi nayo iruhusiwe na serikali kuonyeshwa hadharani runingani sio? Hii tabia ya baadhi ya watu kujifanya manabii uwa inanishangaza sana. Eti sisi wengine tulishasema

Wacha weee....mwenyewe umejipinda kuandika mapointi ya kufa mtu 😀.
 
Hao wanaokatika ni mashabiki waliojilipia viingilio?
Well, at last wema nae ajipatie kipato halali manake Mie huwa sielewi anafanya nini mjini. Nilifikiri ni muigizaji lakini filamu ya mwisho sijui aliitoa lini
 
Tuuenzi utamaduni wetu wa ''kiswahili'' kuanzia ngoma za sindimba,kitoto,lizombe ''miondoko ya wasafi'', khanga, mavazi, viuno n.k maana sasa unaenziwa pande nyingi za dunia na wanajitahidi kutingisha kwa kulipia mafunzo au kwa kujifurahisha tu:
Lizombe

Waha Kasulu kwa Mnyika

Diamond Platnumz Ft Mr Flavour - Nana | Dance Class in Poland

Source: sherrie silver
 
Back
Top Bottom