Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True kabisa, serikali iwajibike!Hahahaa....haya mambo sisi wahalisia wa mambo tulishayasema siku nyingi sana.
Serikali haiwezi kuchunga maadili ya jamii.
Utapiga marufuku sijui video ya Snura isionyeshwe kwenye runinga lakini kwa wakati huo huo mambo yaendeleayo huku mitaani na ambayo wakubwa kwa wadogo wanaweza kuyaona, yanaendelea kama kawaida.
Halafu hizi habari za maadili zimejaa unafiki na umbuni [ostrich mentality] tu.
Sioni mantiki ya majibu yako.. Kwamba kwa sababu ngono inafanyika wazi wazi vichochoroni basi nayo iruhusiwe na serikali kuonyeshwa hadharani runingani sio? Hii tabia ya baadhi ya watu kujifanya manabii uwa inanishangaza sana. Eti sisi wengine tulishasemaHahahaa....haya mambo sisi wahalisia wa mambo tulishayasema siku nyingi sana.
Serikali haiwezi kuchunga maadili ya jamii.
Utapiga marufuku sijui video ya Snura isionyeshwe kwenye runinga lakini kwa wakati huo huo mambo yaendeleayo huku mitaani na ambayo wakubwa kwa wadogo wanaweza kuyaona, yanaendelea kama kawaida.
Halafu hizi habari za maadili zimejaa unafiki na umbuni [ostrich mentality] tu.
Sioni mantiki ya majibu yako.. Kwamba kwa sababu ngono inafanyika wazi wazi vichochoroni basi nayo iruhusiwe na serikali kuonyeshwa hadharani runingani sio? Hii tabia ya baadhi ya watu kujifanya manabii uwa inanishangaza sana. Eti sisi wengine tulishasema