Video: Usiku wa kisengeli wa Wema Escape One ni Aibu

nataka kujua wapi ni watu na ipi ni pesa?..either way sidhani capacity ya ukumbi kwa kuangalia hiyo clip inaakisi unachodai..
 
Ngoma za Kiafrica (Kitanzania) za asali hazikuchezwa hivi, kinachoendelea sasa sio ngoma zetu bali zimengomaishwa, maadamu wanafanya ufichoni ni matendo ya ufichoni acha wangomaishane wenyewe. Tumia akili yako, hii dunia, ina mengi angalia yako tu, hakuna wa kukuelewa mpaka yatakapowakuta wataeelewa tu.
 
Ila ukweli usemwe la Wema linamwagika kama sijui nini, tofauti na wanawake hao wengine...mchina balaaa linamajanga yake. Napita mie
Nasikia harufu ya Paaaaaaasiiiiiiiiiii.........na mie napitaaaa
 
Jamani hiyo pasi wengine hamuisikiiiii?....Pasi inaunguza jamani....

Jikalie ulie na yako ya kulazimisha... Kama matako ya mchina yangekuwa yanakamilisha mwanamke basi tungeona....eeeeeh kaa na mchuma wako.

Pole yako kukazania upwupwu. Utajiju...mchina mchina tu. Ukweli unauna vya Mungu ninvyema kwani huoni utofauti humo kideoni na wengine...eti unatambia mchina nipishe mie hukooooooooooooo wahi. Unatetea kinachoonekana kwa kideo kabisa...unaumia kitu kipesonali hakuna jingine.... Uwiiii mbavu zangu

Ngoja mimi nikasome habari za Mume wa Zari.
 
Hivi mtu akipita akaangalia comment zangu na zako nani anaumia zaidi?....nakuletea nguo ufue si kwa povu hilo.... Pasi veeeepeeeeee
 
Hivi mtu akipita akaangalia comment zangu na zako nani anaumia zaidi?....nakuletea nguo ufue si kwa povu hilo.... Pasi veeeepeeeeee

Mimi tena nijali komenti zangu zinachukuliwajwe....tafuta wengine sio mimi...hapa ni jf ni chochote kinamwagwa...oyaaaa niumie ndugu yangu huyo au miili ya wengine inanihusu nini...wewe ndio umeumia kuchuuuuuuuuuu.... Aaaaagh kumbe eeeeeh unakazania kuwa nini? Eeeeeh mchina mchina aaaaagh mbavu zangu. Haya piga vigelegele ....na maziwa sina ni pasi tuuuuu hata chuchwu hakuna ni njiti kabisa mimi yaani hata nyama sina ni mifupa tu. Tabu u bi umekujaa kwa kukazania.
 
Jaman kwa kweli kuna watu vichwa maji, yani wantaka serikali izuie watu kucheza duh, ebu tupe mfano wa nchi ambayo imewahi kufanya ivo inavyotaka wew mkuu.
 
Hahahahahahahahahahah....endelea kutiririka hadi donge likuyeyuke hilo...mwanamke huwezi kuwa na chuki kwa mwenzio kiasi hicho bwana.....
 
Hahahahahahahahahahah....endelea kutiririka hadi donge likuyeyuke hilo...mwanamke huwezi kuwa na chuki kwa mwenzio kiasi hicho bwana.....

Hahahaaaaa

Chuki haswa sababu ananilisha mchanga kwa mawe ninayokula kila siku na kunivisha majani yanayonisitiri mwili wangu wa ulio kama njiti...piga vigelegele kujifurahia na selebu umpendaye wewe bi
 
Dah! JF ... Bwana Max miaka ile tunatembeleana Magomeni na Majumba Sita, enzi za Jambo Forum ... Nimewaza tu zamani!!!
 
Hahahahahahahahahahah....endelea kutiririka hadi donge likuyeyuke hilo...mwanamke huwezi kuwa na chuki kwa mwenzio kiasi hicho bwana.....
aiseee kuna watu sijuagi wema aliwafanyaga nn!
yaani hawampendi Dada wa watu chochote anachokifanya kwao ni tatizo
Ila the same thing akifanya mwingine wanamsifia

Wengine tena ni wanawake na wakumbuke watazaa pia au wana watoto!

Wanaavyomchukia hvyo mwana wa mwenzao km wamemzaa vile au wanashare mabwana!
Poleni sana wenye vijiba vya rohoooo!!

Mbinguni hawapo duniani hakukaliki nashauri wazae watoto wao kwanza!
 
Hahahaaaaa

Chuki haswa sababu ananilisha mchanga kwa mawe ninayokula kila siku na kunivisha majani yanayonisitiri mwili wangu wa ulio kama njiti...piga vigelegele kujifurahia na selebu umpendaye wewe bi
Ni katika kuyeyusha tu hilo donge lako....Huwezi kuwa juu kwa kumuweka mwengine chini. Thamani yako haipandi kwa kuhighlight madhaifu ya mtu mwingine.....
 
Ni katika kuyeyusha tu hilo donge lako....Huwezi kuwa juu kwa kumuweka mwengine chini. Thamani yako haipandi kwa kuhighlight madhaifu ya mtu mwingine.....

Heheeeeeeeeee jipigie vigelegele vya sauti kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…