Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,528
nataka kujua wapi ni watu na ipi ni pesa?..either way sidhani capacity ya ukumbi kwa kuangalia hiyo clip inaakisi unachodai..We mwenzio kapiga pesa. Hachagui kazi. 10,000×7500. We bado unazungumzia premia ligi. Kampa msaga sumu 2m na Snura 2.5m muna love 2m. Wengine 5 1m. 5m. Ukumbi tarumbeta matangazo na vingine 10m. 65.5m yiko mfukoni kwa siku moja akizunguka mikoa yote pata picha . Mjini msingi kiuno
Million 65 bado unabisha