Video: Utajiri wa Mo Dewji ulipoanzia hadi ulipofikia hivi sasa

Video: Utajiri wa Mo Dewji ulipoanzia hadi ulipofikia hivi sasa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Unapofanya kazi kwa bidii na unapokuwa na nidhamu basi mafanikio huwa ni suala la kugusa tu.

Mo Dewji amelidhihirisha hilo kwa kuongeza utajiri aliokuwa nao toka Dola Millioni 30 hadi kufikia Dola Billioni 1.8 za kimarekani.

ANGALIA HAPA HISTORIA YA MAFANIKIO YAKE KUANZIA MWAKA 1999.

Written by Mjanja M1 ✍️

Soma hapa Elon Musk atolewa namba moja kwenye orodha ya Matajiri Duniani
 
Haina shida,muhimu si anamiliki
Mtoa mada ametuambia ameanza kufanikiwa kuanzia mwaka 1999 kitu ambacho sio kweli.
Hiyo ni familia ya kitajiri ,Mo dewji kaukuta .
Na kuhusu kumiliki ni kweli anamiliki yeye Kwa niaba ya familia yao
 
Unapofanya kazi kwa bidii na unapokuwa na nidhamu basi mafanikio huwa ni suala la kugusa tu.

Mo Dewji amelidhihirisha hilo kwa kuongeza utajiri aliokuwa nao toka Dola Millioni 30 hadi kufikia Dola Billioni 1.8 za kimarekani.

ANGALIA HAPA HISTORIA YA MAFANIKIO YAKE KUANZIA MWAKA 1999.
View attachment 2891700

Written by Mjanja M1 ✍️

Soma hapa Elon Musk atolewa namba moja kwenye orodha ya Matajiri Duniani
1.8 billion USD NI KAMA BILION ELFU 2 , SASA KAMA KWELI ANAZO MBONA HAJATOA BILLION 20 ZA SIMBA
 
Mzee Gulam aliifilisi GAPEX nakumbuka alikaa mahabusu karibu miaka minne alichukua mazao GAPEX akapeleka nje ya nchi na hakulipa pesa Mwl Nyerere akamtia ndani kosa la uhujumu uchumi !!!!
Majengo mengi aliyonayo MO yalikuwa ni mali ya serikali wameyanunua kwa bei ya kutupa ! Rushwaaa !
 
Back
Top Bottom