VIDEO:Uzembe wa Benzema ni tatizo

VIDEO:Uzembe wa Benzema ni tatizo

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Cheki uvivu wa huyu bwana Karim Benzema ulivyoicost team yake ya Real madrid na Ufaransa katika mechi tofauti, Kwa uvivu huu bora hata Morata angebaki.

Yaan jana angekuwepo cr7 tungeshinda magoli zaidi ya 7
 
Benz kitambo sana alikua anazingua, alafu anakua mzito kiasi cha kufikasehemu ya tukio kwa muda sahihi kwake ni tatizo...!
Ilee anajikuta anakimbia kivivu, golini kiasi cha kumpa beki nafasi ya kukava makosa yke, ndio maaana anapokutana na Mpira gafla unaona beki mpinzani anamghasi ghasi na kupata matokeo hasi
Jingine ni mapenzi ya ZIZU na BENZ ni yamezidi aiseee.
 
mfaransa mwenzake huyo
 
Back
Top Bottom