Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Cheki uvivu wa huyu bwana Karim Benzema ulivyoicost team yake ya Real madrid na Ufaransa katika mechi tofauti, Kwa uvivu huu bora hata Morata angebaki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mfaransa mwenzake huyoBenz kitambo sana alikua anazingua, alafu anakua mzito kiasi cha kufikasehemu ya tukio kwa muda sahihi kwake ni tatizo...!
Ilee anajikuta anakimbia kivivu, golini kiasi cha kumpa beki nafasi ya kukava makosa yke, ndio maaana anapokutana na Mpira gafla unaona beki mpinzani anamghasi ghasi na kupata matokeo hasi
Jingine ni mapenzi ya ZIZU na BENZ ni yamezidi aiseee.