Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unataka kusema watu waache kupiga punyeto au?Vijana,
Endeleeni kuwasikiliza Kataa Ndoa
Kuna mwenzenu sijui ni Moshi huko amepiga punyeto hadi kufariki.
Huyu angekuwa kwenye ndoa asingekutana na dhoruba hii.
Kwa hiyo unataka kusema watu waache kupiga punyeto au?
Wapo uchagani..Hao wanawake wakuoa wapo wap?
Wachaga no aisee...acheni kujipromote aisee...tena hao ndio wabaya sanaWapo uchagani.
Mimi pia nimewaza hivyo, maana sijamuona kitambo sana hapa JukwaaniHebu mtafuteni dronedrake usikute ni yeye
Acha uongo wewe na inawezekana wewe mwenyewe ni mpiga nyeto mkubwa😎😎Kupiga punyeto ni dalili ya UVIVU, ujinga, umasikini na kukosa maadili....
Kijana ambaye hana sifa tajwa hapo juu, hawezi kupiga punyeto?
Kijana ambaye yupo busy kutafuta maisha, hata kama hajaoa; hawezi kukimbilia kupiga punyeto