Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Mpambanaji ilikuwa lazima afe! Mimi nasema afadhali kazima akiwa pekee yake. Angezimikia kifuani kwa mwanamke, huyo mwanamke angetiwa misukosuko sana na pia angeathirika kisaikolojia kwa muda mrefu sana!Vijana,
Endeleeni kuwasikiliza Kataa Ndoa
Kuna mwenzenu sijui ni Moshi huko amepiga punyeto hadi kufariki.
Huyu angekuwa kwenye ndoa asingekutana na dhoruba hii.